Mwenye ujuzi na sever system

Mwenye ujuzi na sever system

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Naomba mwenye ujuzi na hii sever system aje tuongee biashara
 
Attachments

  • 1419536721211.jpg
    1419536721211.jpg
    87.5 KB · Views: 317
  • 1419536736853.jpg
    1419536736853.jpg
    73.7 KB · Views: 378
  • 1419536756954.jpg
    1419536756954.jpg
    105.9 KB · Views: 290
  • 1419536770352.jpg
    1419536770352.jpg
    74.2 KB · Views: 289
Umeitoa wapi ?

Duh hilo swali unavyouliza kama ameiba vile? Atakuwa anauza computer used labda ameona wateja hawaielewi, nimeshaziona baadhi ya maduka kariakoo hizo server.
 
Duh hilo swali unavyouliza kama ameiba vile? Atakuwa anauza computer used labda ameona wateja hawaielewi, nimeshaziona baadhi ya maduka kariakoo hizo server.

Inakuwaje unauza bidhaa ambayo hujui kazi yake?
 
Hahahahahahahaha hata ku Google umeshindwa😱😱😱😅😅
 
huwa server zinauzwa bei rahisi kuliko computer hizi desktop, ukiichangua ukauza parts utapiga hela ndefu. Kama unaweza eka aina yake au kama una ujuzi zaidi sema inatumia processor gan, ram gb ngap, hdd nk
 
Angalia puct itakupa model
 
Inakuwaje unauza bidhaa ambayo hujui kazi yake?

Inatokea mkuu, kwenye biashara ya vitu used unaweza agiza mzigo vikaja vitu ambavyo hata hukufikiria kuja kuviona.
 
Naomba mwenye ujuzi na hii sever system aje tuongee biashara

duuh kitu Intel xeon hatari sana...wawekee bei watu watakichukua

Useme dude kubwa sana hilo nalo watu wengi wana run vi server vyumbani kwao kwa computer za kawaida hii wanaweza chukua watu ambao wana run server kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya kampuni fulani

HP ProLiant ML350 G6 Specs - CNET
 
Mkuu nakupa laki na nusu maana unaweza kukuta haifanyi kazi

Nilivyoambiwa imefunguliwa sehemu ambayo ina fanya kazi ila kampuni yao ndio imekufa. Kutoka holand. Nimeiangalia ndani ina hard disk kama 4 ivi halafu ram kibao. Muonekano wake ni mzuri tuu
 
Back
Top Bottom