Kinyume chake ndio sahihi
tusiandikie mate kaka mimi nakupa ushahidi na wewe lete wako.
Hii hapa ni source ya amazon ikionesha server za xeon na bei zake
Amazon.com: server xeon
kama utapata result nitakazopata mimi result yako ya kwanza itakuwa ni LENOVO THINKSERVER TS140, hebu tuangalie bei na unachopata pamoja na kulinganisha na pc ya kawaida
hii server inauzwa dola 330
processor yake ni Intel Xeon E3-1225 yenye clock speed ya 3.2ghz na kwenye benchmark ya passmark imescore 6989 hivyo ni equivalent na i5 4570, ina maana ukitoa hii i5 mpya ya devil canyon na nyengine zinazoweza ku overclock hii mashine ina nguvu kushinda i5 na i3 zote, je umewahi ona pc ya kawaida bei rahisi hivyo? Maana processor tu ya i5 zinaanzia dola 200 lakini ukinunua server unapata kitu powerfull namna hii. Na bila kusahau hii xeon ina hyperthreading ukijumlisha na core zake 4 kwenye multitasking itafanya kazi kama i7 japo imepitwa kwenye single core perfomance.
Hdd itabidi ueke mwenyewe na ukiweka 1TB kwa dola 60 ina maana upo chini ya dola 400 huku una powerfull pc
vitu vyengine ambapo vipo
- 5X SATA III Ports on M.B.
- 6X USB 3.0 Ports
- 2X Display Ports
- 4X DIMM slots supporting up to 32GB RAM
- 4X PCIe 2.0 slots + 1X PCI slot on M.B.
- Upgraded Intel P4600 Graphics on Xeon E3-1225 v3 CPU
- Onboard Realtec HD Audio Card supporting Surround Sound
- Remote Access with Intel 9000 chip.
- Hardware support for RAID
- Cables for 6X 15-pin SATA connections.
- Extra 3.5" Drive bay with Cooling Fan in 2nd. 5.25" Drive Bay.
- Half-Height CD/DVD O.D. 5.25" has 3.5" HDD bay included.
- 2X Case Cooling Fans, 1X CPU Cooling Fan, 1X 5.25" Drive Bay Cooling Fan
bwana mathematics unaweza nitafutia pc mpya equivalent na hio xeon processor kwa bei rahisi kama hio? Maana hapo hata ujipinde ukanunue graphics card ya $100 ambayo itacheza allmost game zote kwa 1080p bado utakuwa chini ya dola 500 huku una pc nzuri