Mwenye Ufahamu kuhusu Database ya Utumishi naomba msaada

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,690
919
Habari! Wakuu,

Naomna kufahamu mwenye uelewa na hili hivi UTUMISHI hutumia njia gani Kupanga vituo kwa wale wanaobahatika kuingia DATABASE yao.Je hutumia njia ya kumtoa wa kwanza kuwekwa au wanapick randomly au wanawapanga in acsending order wa marks za juu ndo atakaeanza kutoka haijarishi lini amewekwa kwenye DATABASE?!!

Mfano; Candidate wa kwanza kafanya usaili mwezi wa 5 na alipa 80 akafanikiwa kuwekwa kwenye DATABASE na Candidate mwingine kawekwa mwezi wa 7 ila alipata 90 hizi ni saili tofauti mwezi wa 9 ikatokea nafasi yupi ataanza kuwa first consider.

Ahsanteh
 
Nishawahi kuwaga na sintofahamu kama hii ila acha niskilize majibu ya wadau wengine namimi.
 
Kimsingi wa kwanza kuingia ndo atakuwa wa kwanza kutoka kutokana na upatikanaji wa Nafasi au Kibali cha Ajira. Aidha Database inahifadhi Msailiwa kwa Siku 240 tu, kinyume na hapo inakutema!
 
Kimsingi wa kwanza kuingia ndo atakuwa wa kwanza kutoka kutokana na upatikanaji wa Nafasi au Kibali cha Ajira. Aidha Database inahifadhi Msailiwa kwa Siku 240 tu, kinyume na hapo inakutema!!!
siku ngapi?
 
Kimsingi wa kwanza kuingia ndo atakuwa wa kwanza kutoka kutokana na upatikanaji wa Nafasi au Kibali cha Ajira. Aidha Database inahifadhi Msailiwa kwa Siku 240 tu, kinyume na hapo inakutema!!!
Yeah nafahamu hili la siku ila mkanganyiko ulikuwa hapa je yupi anakuwa first considered.
 
Kimsingi unachoshindwa kutofautisha hapo ni kitu kidogo sana, msahiliwa wa kwanza amefanya mwezi wa 5 akapata alama 80 na msahiliwa wa pili kafanya mwezi wa 7 kapata 90. Tuje kwenye uhalisia.

Kama mfano walitoa nafasi afisa kilimo mwezi wa 5 , msahiliwa alipata 70, huyo wa mwezi wa 7 hawawezi kuitangaza nafasi hiyo hiyo kwa taasisi nyingine inayohitaji afisa kilimo wakati kuna waliopo kwenye kanzidata labla pale tu muda wa kumbukumbu miezi 6 hadi 8 kuisha.
 
Kimsingi unachoshindwa kutofautisha hapo ni kitu kidogo sana, msahiliwa wa kwanza amefanya mwezi wa 5 akapata alama 80 na msahiliwa wa pili kafanya mwezi wa 7 kapata 90. Tuje kwenye uhalisia. Kama mfano walitoa nafasi afisa kilimo mwezi wa 5 , msahiliwa alipata 70, ,huyo wa mwezi wa 7 hawawezi kuitangaza nafasi hiyo hiyo kwa taasisi nyingine inayohitaji afisa kilimo wakati kuna waliopo kwenye kanzidata labla pale tu muda wa kumbukumbu miezi 6 hadi 8 kuisha.
Wewe ndio hujamuelewa mleta mada,

Mwezi wa 5 amefanya aliepata 70 akabakia kwenye kanzi-data. Mwezi wa 7 sababu ya umuhimu wa Nafasi yenyewe pengine inahitaji mwenye maksi za juu wakaitisha ingine akabakia kwenye data aliepata 90.

Sasa mwezi wa 9 wakiletewa Maombi wataanza kumchagua yupi? Kuitisha intavyuu tuseme ya uhasibu wakati wanao wahasibu kwenye kanzi-data ni swala ambalo linawezekana. Sio kwamba kila wakiletewa maombi watakua wanawachukua walewale mpaka washuke kwa aliepata 50,
 
Hv watu wa UTUMISHI kule hawwapo humu watujibie maswali yetuu haya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom