Habarini jamani naomba kuuliza nani ambaye ana uelewa wa kusajili local tv channel
Nenda tcra ila leseni ya FTA sio mchezo,jiulize mpaka leo local za FTA ni tano kwanini? Unataka iwe ya maaudhui gani kwa mfano?Habarini jamani naomba kuuliza nani ambaye ana uelewa wa kusajili local tv channel
jamani maudhui ya dini ninakatia leseni pia?
bureNdiyo unataka iwe ya kulipia km upendo au bure?
Gharama kubwa sanabure