Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE
Uliza hapa ujibiwe
Hivo badilisha kama kimeharibika
Ila kuna hizi
Cheki nuts za hubcaps katika suspension system
Na drive belt or drive belt tensioner kuloose ambayo ina connect altenator, Air conditining na mfumo wa steering system had kwenye crankshaft , angalia hizi kama zime loose
Pia kama matairi yako yapo in irregullar , liangalie hilo ,huwa linasababisha makelele unapoendesha
Uchafu kwenye fuel injector hii husababisha cylinder zisipokee mafuta(AIR-FUEL MIXTURE) ya kutosha, Chakufanya i chek na uirun injector cleaner, Pia sababu nyingine
Ni kufeli kwa spark plug, na hili ni tatizo gumu kulitambua kwa duagnosis hasa pale waya za kwenye spark plug zinapokuwa failed .
Hapa ushauri wa bure ni kubadili spark plug.
Kuhusu Fuel treatment ni elewavyo ni kuongeza NGUVU au power ya engine, pia kupunguza gas mbalimbali baada ya mafuta kuungua
Ni hayo tu mkuu
Uliza hapa ujibiwe
Kazi ya VARIABLE VALVE TIMING sensor ni kuimprove performance ya engine, fuel economy or emissions ya gari lako, ina msaada mkubwa, ila machache ni hayo
Na hili wengi mafund wa mtaani hawalijui, zaidi wanabuni au wanahisi tatizo ni VVTI, Ila tatizo la CHECK ENGINE kuwaka huwa ni gas cap kuwa loose hivo hufanya mafuta ku evaporate,Ok gari yangu nilikua naendesha root ndefu mara ghafla check engine ikawaka nikaenda kupima nikaambiwa iyo taa inasababishwa na vvti sensor...kwamba kunauwezekano oil haipiti baadhi ya sehemu kwenye engine..... ebu nifafanulie apoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo badilisha kama kimeharibika
Cv joint ni sababu mojawapoMkuu gari langu linakua linatoa milio ya vyuma nikikata kona at first niliambiwa ni CV joints zimekufa...nikabadili baada ya muda mchache tatizo limeendelea
Ila kuna hizi
Cheki nuts za hubcaps katika suspension system
Na drive belt or drive belt tensioner kuloose ambayo ina connect altenator, Air conditining na mfumo wa steering system had kwenye crankshaft , angalia hizi kama zime loose
Pia kama matairi yako yapo in irregullar , liangalie hilo ,huwa linasababisha makelele unapoendesha
Sababu kuu chache za awali ninazozijua zinazofanya car engine kumissfire nini kipi husababisha gari kuwa na mis? gari yangu na mis, naomba msaada! pili, kuna kitu nimeskia kinaitwa fuel treatment , unamwaga kwenye tank LA mafuta, je faida zake ni zipi? na hasara zake ni zipi? na inatumikaje?