Habari wataalam! Gari aina ya Carina Ti ghafla inachelewa kupokea ninapo iwasha na wakati mwingine hadi nikanyagie mafuta, nimebadilo Plug, fuel pump bado tatizo lipo pale pale, pia nikuwa mlimani nikilazimisha kuipa moto ni kama ina mis (inapata kigugumizi) tafadhali msaada wataalam.