Unajua nini ufanye gari inapokosa nguvu?

Apr 23, 2019
17
25
✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni.

(1)Kufeli kwa sensors mbalimbali
Sensor ni kifaa kinachopatikana kwenye gari nyingi za kisasa chenyewe kinafanya kazi ya kutambua Hali ya sehemu usika kwenye engine na kutuma taarifa kwenye ECU (engine control unit). Mfano oxygen sensor hii inafanya kazi ya kutambua kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na hewa kilichochomea kwenye engine

(2)Kufeli kwa actuators
Hivi ni vifaa vinavyopatikana kwenye gari vyenyewe vinafanyakazi ya kutenda kazi Fulani baada ya kupata amri ya kutenda kutoka kwenye ECU. Mfano fuel pump na nk

(3)Kufeli kwa sehemu za mechanics
Sehemu ni za mechanics kwenye gari ni sehemu zote kwenye gari ambazo zenyewe zinafanya kazi kwa Hali ya kimitambo kwa rings piston, camshaft timing chain na nk

✓Hivyo Kuna sababu nyingi ambazo zinapelekea gari kupatwa na changamoto mbalimbali, kama Unaswali au unahitaji ushauri piga simu 0659-717838 tutakushauli kuhusu gari yako

mass-air-flow-sensor.jpg
 
Back
Top Bottom