Mwenye tatizo kuhusu magari

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,693
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE

Uliza hapa ujibiwe

Sensor ya vvti kazi yake nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya VARIABLE VALVE TIMING sensor ni kuimprove performance ya engine, fuel economy or emissions ya gari lako, ina msaada mkubwa, ila machache ni hayo

Ok gari yangu nilikua naendesha root ndefu mara ghafla check engine ikawaka nikaenda kupima nikaambiwa iyo taa inasababishwa na vvti sensor...kwamba kunauwezekano oil haipiti baadhi ya sehemu kwenye engine..... ebu nifafanulie apoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili wengi mafund wa mtaani hawalijui, zaidi wanabuni au wanahisi tatizo ni VVTI, Ila tatizo la CHECK ENGINE kuwaka huwa ni gas cap kuwa loose hivo hufanya mafuta ku evaporate,

Hivo badilisha kama kimeharibika

Mkuu gari langu linakua linatoa milio ya vyuma nikikata kona at first niliambiwa ni CV joints zimekufa...nikabadili baada ya muda mchache tatizo limeendelea
Cv joint ni sababu mojawapo

Ila kuna hizi

Cheki nuts za hubcaps katika suspension system

Na drive belt or drive belt tensioner kuloose ambayo ina connect altenator, Air conditining na mfumo wa steering system had kwenye crankshaft , angalia hizi kama zime loose

Pia kama matairi yako yapo in irregullar , liangalie hilo ,huwa linasababisha makelele unapoendesha

ni kipi husababisha gari kuwa na mis? gari yangu na mis, naomba msaada! pili, kuna kitu nimeskia kinaitwa fuel treatment , unamwaga kwenye tank LA mafuta, je faida zake ni zipi? na hasara zake ni zipi? na inatumikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kuu chache za awali ninazozijua zinazofanya car engine kumissfire ni

Uchafu kwenye fuel injector hii husababisha cylinder zisipokee mafuta(AIR-FUEL MIXTURE) ya kutosha, Chakufanya i chek na uirun injector cleaner, Pia sababu nyingine
Ni kufeli kwa spark plug, na hili ni tatizo gumu kulitambua kwa duagnosis hasa pale waya za kwenye spark plug zinapokuwa failed .
Hapa ushauri wa bure ni kubadili spark plug.

Kuhusu Fuel treatment ni elewavyo ni kuongeza NGUVU au power ya engine, pia kupunguza gas mbalimbali baada ya mafuta kuungua

Ni hayo tu mkuu
 
Hii ungeifanya kama special thread mkuu, naamini wenye maswali kuhusu magari ni wengi mno.

Nashauri Mods waifanye Special thread.
 
Ok gari yangu nilikua naendesha root ndefu mara ghafla check engine ikawaka nikaenda kupima nikaambiwa iyo taa inasababishwa na vvti sensor...kwamba kunauwezekano oil haipiti baadhi ya sehemu kwenye engine..... ebu nifafanulie apoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE

Uliza hapa ujibiwe
Kuhusu engine na gear box services. Nani anaweka vigezo kuwa oil fulani tembea km 1,000, 3,000, 4,000 na 5,000?

Je kuna galoni zimeandikwa km za kutembea iwapo umefanya services kwa kutumia oil hiyo?
 
Tatizo ni gas cap inaloose pia linaweza kuwa ktk catalyc conveter anza na hayo
 
Taaa iliwaka nikiwa naendesha tena speed kama 80km/h

Sent using Jamii Forums mobile app
Chek gas cap kama ina loose

Anzia hapo, ukishindwa ukiona tatizo linazidi kuwepo ,nitakupa solution nyingine

0b181b1f6cc4239271127c0de2d986b2.jpg
 
Kuhusu engine na gear box services. Nani anaweka vigezo kuwa oil fulani tembea km 1,000, 3,000, 4,000 na 5,000?

Je kuna galoni zimeandikwa km za kutembea iwapo umefanya services kwa kutumia oil hiyo?
Ni manufacturer wa hiyo engine au gear box anakuwa amesema hivo, tatizo hatuzingatii maelezo

Pia galoni zinakuwa zimeandikwa hiyo oil itumike vip,
 
Ni manufacturer wa hiyo engine au gear box anakuwa amesema hivo, tatizo hatuzingatii maelezo

Pia galoni zinakuwa zimeandikwa hiyo oil itumike vip,
Unaweza toa mfano wa engine oil gani imetaja KM za kutembea to next service? piga picha mkuu
 
Gdi ikiwaka inazima hapo hapo tatizo linaweza kua nini
Hii imetokea baada ya kubadilisha high pressure fuel pump
 
Gdi ikiwaka inazima hapo hapo tatizo linaweza kua nini
Hii imetokea baada ya kubadilisha high pressure fuel pump
Chakwanza kabisa hiyo pump ya fuel ndio kiin cha tatizo, either hafany kazi sawasawa, pia cheki betri kama ipo sawa, then malizia FUEL SENSOR kama nayo ipo poa
 
Chakwanza kabisa hiyo pump ya fuel ndio kiin cha tatizo, either hafany kazi sawasawa, pia cheki betri kama ipo sawa, then malizia FUEL SENSOR kama nayo ipo poa
Kwa mujibu wa computer pump ndio mbovu nimeweka used ndio gari haiwaki bora ile mbovu
 
Mkuu gari langu linakua linatoa milio ya vyuma nikikata kona at first niliambiwa ni CV joints zimekufa...nikabadili baada ya muda mchache tatizo limeendelea
 
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE

Uliza hapa ujibiwe

Mimi engine ya gari langu turbo haifungui ninini shida na itatatuliwaje ni mitsubish L 200
 
Gari yangu ni aina ya Hilux double cabin na engine yake ni 2L petrol, kinachonitesa kila mara ni carburettor , mara naambiwa ime float, mara naambiwa uchafu. ...mafundi wananishauri nibadilishe engine, niweke ya aina hiyo hiyo ila yenye injection, wazo hili ni sahihi na engine hizo kweli zinapatikana? Naomba ushauri wako mkuu maana nimeteseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom