MWENYE taarifa za David Jairo atujuze zaidi repoti ya CAG,

igwana123

Senior Member
Nov 8, 2010
175
25
Jamani mwenye taarifa za uchunguzi wa CAG kuhusu David Jairo atujuze na tuhabarisheni!
 
Nimemuona hapa kona baa sinza sasa hivi anakata kilaji kwa kwenda mbele huenda kafuata milupo hapa!!!
 
Amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi soon tutawapa full statement
 
Nimemuona hapa kona baa sinza sasa hivi anakata kilaji kwa kwenda mbele huenda kafuata milupo hapa!!!
kashaagiza Bill za kilaji zitalipwa na Twanesco na Milupo wanalipa Bwarrick!

Mk,w,ere ni mshikaji wangu najua siri zake nyingi hawezi kunifanya kitu akimwaga ugali me nitamwaga Mboga..
 
Waziri Mkuu Pinda alisema ingekuwa chini ya uwezo wake angefukuzwa kazi. Watanzania wengi walifikiri kuwa baada ya mkuu kutoka Afrika kusini huyu jamaa angestaafishwa kwa manufaa ya umma. Lakini nasikia tetesi kuwa mkulu aliporudi alimripukia Pinda kuwa nani kampa ruhusa ya kusema maneno kama hayo hadharani na kumwuuliza kuwa hajui huu utaratibu wa kusambaza bahasha bungeni wakati wa bajeti umekuwepo muda mrefu? Ndio ukasukwa mpango wa kumpumzisha kwa malipo wakati zoezi la kumsafisha likifanywa na CAG.
 
Jairo is innocent.
Acount ya GST haijui hata bilioni ikoje, sana sana wakipata wanapata mil 500.
Ukiibua kashfa, jiandae, siyo kukurupuka, sometimes mtu anamakosa kweli lakini kukurupuka kwako wampa faida
 
Back
Top Bottom