Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 293
Bado Naona Kupo kimya ndugu yangu yaani...
Daah..sisi ambao hatuna godfather tutamaliza sole za viatu mwaka huu..daah..!!
Bado Naona Kupo kimya ndugu yangu yaani...
Hizi kazi navyosikia mpaka mwakani..
NSSF duuuhhhh..ivi ile kashfa ya migration haikuunganisha na hii...maana pale mpaka uwe na taa ya utosini..siiiigida
chanzo chako kipo sahihi. ratiba imevurugika baada ya chief legal officer kupigwa mr komba
Unaweza kuthibitish
Ramadhan Dau...iyo ni kweli ushaidi Wa kisayansi upo... and I experience that
Toa mfano wa wa2 walio ajiliwa kwa sijida?
Ndiyo Kiongozi Heaven on Earth;
Mfn ni huu wa hizi ajira za operations zinavyopigwa danadana
Toa mfano wa wa2 walio ajiliwa kwa sijida?
Toa mfano wa wa2 walio ajiliwa kwa sijida?
Ramadhani mpili - NSSF quality centre
Ashura kindeketa-NSSF kinondoni
Ramadhani mpili - NSSF quality centre
Ashura kindeketa-NSSF kinondoni
Hawana sifa?.je wenye sijida hawana haki ya kuomba au kupata kazi NSSF?
Wao Ndo wa Kwanza kuchelewesha ajira?