Mwenye taarifa ajira NSSF

Mwenye taarifa ajira NSSF

nasikia wanakaa mwaka mzima mpaka msahau ndio wana toa majina kwa ajili ya interview
 
Imekula kwetu hiyo hakuna hata dalili za kushortlist watu. nchii ina wenyewe hii.
 
Ramadhani mpili - NSSF quality centre
Ashura kindeketa-NSSF kinondoni

.....@ Kigogo...Nmejaribu kupeleleza NSSF Quality centre hakuna mfanyakazi mwenye hilo jina la Ramadhani Mpili....
 
Hivi zile ajira za NSSF zilizokua zinahitaji operation officer zilizotangazwa mwez wa sita vipi bado tu hawajatoa majinawatu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili au nipo outdated msaada jamani humu jamvini.

Kama Wewe Ni Wa Kusali Ijumaa UTAPATA Tena Kiurahisi Hapo ILA Kama Wewe Ni Wa Jumapili au Jumamosi SAHAU! Rama Dau Ni MDINI Mno Tena Hafichi Na Kwa Uhakika Zaidi Ulizia Kwa Walioajiriwa Hapo. Ni UDINI KWA KWENDA MBELE.
 
Back
Top Bottom