paul maujr
Member
- Jul 15, 2014
- 9
- 9
Hivi zile ajira za NSSF zilizokua zinahitaji operation officer zilizotangazwa mwez wa sita vipi bado tu hawajatoa majinawatu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili au nipo outdated msaada jamani humu jamvini.
Huko unaambiwa sahivi vimemo ni vingi kuliko nafasi wanashindwa kujielewa wafanyaje
dumejike na huku kucheleweshwa kwa usajili kunatengeneza mianya ya rushwa...anyway wengine hatuna ndugu huko kwenye vitengo
Tunamtegemea Mungu
Tunategemea vyeti vyetu
Uzoefu na uwezo wetu wa kufanya kazi
uaminifu na uchapaji kazi.
Mungu tutangulie!!
Amina!
Mwenye taarifa na nafasi ya OPERATIONAL officer NSSF waungwana humu ndani
Mkuu vipi hujapata updates zozote za hawa jamaa wa NSSF?maana wapo kimya sana..
Bado Naona Kupo kimya ndugu yangu yaani...