Me nnayo ila hizo hela zinazowekwa kwenye matiti huwa zina mikosi.Nataka simu, Nokia Asha 201 mpaka Nokia Asha 225.
Mwenyenayo mojawapo kati ya hizo, ajitokeze hapa, mimi nitamfuata PM.
Hela iko kwenye matiti, mbele kabisa hapa, nachomoa tu simu ikipatikana!
sawa.Hauna simu wewe!
Waderee tu watatifimba kama wote mama la mama halafu wengi wao ni mawaki fulu kisanga..haina daz ww nyuti tu ivovo uwasorore kimtindo(chuga moko hiyo)Nataka simu, Nokia Asha 201 mpaka Nokia Asha 225.
Mwenyenayo mojawapo kati ya hizo, ajitokeze hapa, mimi nitamfuata PM.
Hela iko kwenye matiti, mbele kabisa hapa, nachomoa tu simu ikipatikana!
n73 unauzajee??Ipo nokia n73 na 6500s slide hapa
Mkuu acha ujinga huyo mtoa mada ni ME mwenzio kama hauamini pitia nyuzi zake utaelewa tuMe nnayo ila hizo hela zinazowekwa kwenye matiti huwa zina mikosi.
Hakukuwa na sababu ya kuniambia niache ujinga wakati mtoa mada amesema pesa iko kwenye matiti na ukizingatia pia anatumia id yenye jina la kike pia profile kaweka picha ya kike,sasa kama ni mwanaume na mnafahamiana basi mrekebishe mwenzio.Mkuu acha ujinga huyo mtoa mada ni ME mwenzio kama hauamini pitia nyuzi zake utaelewa tu