princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,666
- 19,288
..
kama uko seriousTuma kwanza wewe
chaaaTuma buku nitakurudishia boom ikitoka mkuu
unanipa namba nakupa na zangu tunatumianaNtakuaminije
.....ndo namalizia kumsajilia line nyingine hapa akutumie;Usipate shida Mrembo, nitumie namba yako nikutumie buku kumi ukapate lunch na wala sihitaji vocha maana mimi simu zangu zote ni post paid
nambaMbona hutumi?
Tuma sasa nikutumie
duuhUsipate shida Mrembo, nitumie namba yako nikutumie buku kumi ukapate lunch na wala sihitaji vocha maana mimi simu zangu zote ni post paid
.....ndo namalizia kumsajilia line nyingine hapa akutumie;
.just in case


jamani niko seriousjamani niko seriousUsipate shida Mrembo, nitumie namba yako nikutumie buku kumi ukapate lunch na wala sihitaji vocha maana mimi simu zangu zote ni post paid
dm ni nini?habari
jamani kwa yoyote mwenye shida ya vocha ya Tigo ya 10000,5000
anitafute nimtumie
yeye atume tigopesa mimi nirushe vocha
maana nmekosea zero nilikua nanunua vocha ya Tigo 1000 tigopesa nikaongeza zero ikawa 10000..
Alie serious jamani DM
maana asubuhi nna shida nayo hio hela
jamanii
....khaaa.,we ndo hauko serious!..bado kumbe hujatuma namba tu?....acha woga,shuka lile la mmasai umepewa ofa na Mtambuzi;na vocha unabaki nayo!jamani niko serious