twatwatwa
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 2,066
- 421
Nimezama kwenye hii tovuti mbona haifunguki mkuu
tumia modem ya huawei mkuu
Nimezama kwenye hii tovuti mbona haifunguki mkuu
Mzee wako alikuwa mtu wa kunyoosha mistari ndio maana maisha yenu yamekuwa ya kawaida na ndivyo inavyokuwa siku zote ila wewe usijali shukuru na ujivunie kwa chochote alichojitahidi mzee wenu hadi kufikia hapo ulipo sasa.Hiyo kufunguka ni kwa hisani ya Kije na mzee wake Mkuu kweli maisha haya wakati tuko wadogo huyu jamaa tumekaa nae Mbeya wakati wazee wetu wakiwa madarakani serikalini kabla hawajasitahafu lakini mwezangu katusua kama wasemavyo watoto wa mjini ha!ha!
Anajulikana kama Kinje mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge akiwa na familia yake kabla ya kuruka katika ndege yao binafsi kama wanavyoonekana kwenye picha.
Naomba wafike salama maana injini kama mbovu vile hehehe.
hivi Flight Link sio chartered one? ? nauliza tu...
na kwani hata mie nikiwa na vijisenti vyangu kwan siwez kuikodi?
Maneno yako Daima yatabaki kwenye kumbukumbu zangu leo Mkuu nikija Bongo lazima nikutafute nikitoka uku kwenye Brazuka.Mzee wako alikuwa mtu wa kunyoosha mistari ndio maana maisha yenu yamekuwa ya kawaida na ndivyo inavyokuwa siku zote ila wewe usijali shukuru na ujivunie kwa chochote alichojitahidi mzee wenu hadi kufikia hapo ulipo sasa.
Usiogope/usitishike kwa mambo madogo ya mpito
jamani hiyo ndegee amekodi hajanunua soma hapo inachata la flightlink kampuni yenye private jet tanzania za kukodi. mleta mada ana umbeya.