Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mleta uzi angalia sana,Viroba na Maharage sio mwake.
Ukileta uzi ujipange sana,inaonekana hata mambo ya ndege huyajui.
Unajua mtu akikodi basi amenunua,Pole sana.
Jua kwamba unaweza kuwa na chini ya laki tatu na nusu tu ukakodi Ndege ya 5 - 7 Seater kuja Zanzibar na familia yako.

Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?

Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.
 
Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?

Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.

Sasa ulichopost ni nini sasa,au ulikuwa unapima watu watachangia issue za siasa.
Acha kujichanganya
 
Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.

attachment.php
senchu kwa kuikuza picha,
wamependeza
 
jamani hiyo ndegee amekodi hajanunua soma hapo inachata la flightlink kampuni yenye private jet tanzania za kukodi. mleta mada ana umbeya.
 
Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?

Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.

wewe ndio hujui mambo ya ndege. mimi nilikodi four seater kwenda mafia one way kwa dollar mia mbili tu. na upload risiti kwa ajili ya ma Tomaso kama wewe ambae hujakodi hata taxi
 
Kaongeza bei ya Parking kariakoo zamani ilikuwa 100 na Sasa ni 300 Kama City Centre... Majizi ya Nchi hizo pesa zinatakiwa zisaidie kulipa Deni la Taifa lililokopwa kusomesha na kutibia vigogo nje ya nchi...
 
Tatizo liko wapi mtu akimiliki private jet?
Mwisho wa siku mta-question hata mtu akimiliki bajaji sasa.
 
Maneno yako Daima yatabaki kwenye kumbukumbu zangu leo Mkuu nikija Bongo lazima nikutafute nikitoka uku kwenye Brazuka.
Nimejaa tele mkuu nakusubiri.

Ila kuwa makini sana na mambo ya nishikie mzigo wangu hasa utakapofika uwanjani ikiwezekana kataa mambo ya ujamaa si unajua fursa nje nje kwa kipindi hiki cha michuano ya kombe la dunia.

Nafikiri unanielewa
 
Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.

attachment.php
kuwa na pesa zisizokuwa na genuine source utazitanulia kweli lakini rohoni hutakukwa na amani, i rather die poor...!!!
 
Watu na maisha yao, but at what cost?

Big F... (I mean "Freaking") deal!!
Hizi ndege used mbona bei yake ni poa kuliko hata Landcruiser/Range mpya?

Kuna mtu anayo moja namfahamu alinunua US haikuzidi hata $200K total landed cost...."vijisent" ambavyo hapa bongo kuna watu chungu nzima wanaweza ku-afford, achilia mbali wale wanaoitwa wazee wa mapouda!!
 
Ya kukodi hiyo kwa wadosi,..nliwahi kukodi kusafirishia maiti same jet.
 
All the best...kama kazi unayofanya inaruhusu, why not! Maisha ndio haya haya...ila Kama ndio short cut mhhhh!
 
Whatever! Huoni Panya road wanaua watu kwa nokia tochi? Hela nyingi ni ngapi? Hela chache ni ngapi?
Na gharama ya kitu inapimwa kwa monetary value tu?

Big F... (I mean "Freaking") deal!!
Hizi ndege used mbona bei yake ni poa kuliko hata Landcruiser/Range mpya?

Kuna mtu anayo moja namfahamu alinunua US haikuzidi hata $200K total landed cost...."vijisent" ambavyo hapa bongo kuna watu chungu nzima wanaweza ku-afford, achilia mbali wale wanaoitwa wazee wa mapouda!!
 
ngoja waanze ufisadi ili wamjibu kwa ndege pia,kwa nchi inayoendelea hii yaeza panua fikra za mafisadi kufisadi kikubwa zaidi
 
Back
Top Bottom