Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Hiyo ndege ni ya kampuni ya Flightlink inayomilikiwa na mhindi mmoja hivi ambaye zamani alikuwa pilot.
Nahisi wamekodisha na kupiga selfie.
 
Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?

Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.

Mi mwenyewe kanistua kweli ingekuwa laki tatu na nusu si kila mtu angekuwa anakodi.
 
Ndege nyingine kwenye mabawa kumeandikwa 'don't step on this'. Sasa hao wameegemea na kukalia hilo bawa si wanajitafutia balaa maanake likibonyea kidogo tu flying yake ni shida, na laweza kuipeleka ndege hasikopenda rubani. Edge ya wings pia haitaki disturbance hata kidogo.

Hii ndege ni skrepa huoni hata engene imekongolewa, watoto kurukaruka juu sawa tu, ila hii ya watoto kukaa juu ya bonet washauri wasikae juu ya voxy wanaweza jikuta wametumbukia ndani.
 
Hii ndege ni skrepa huoni hata engene imekongolewa, watoto kurukaruka juu sawa tu, ila hii ya watoto kukaa juu ya bonet washauri wasikae juu ya voxy wanaweza jikuta wametumbukia ndani.

Lol lol lol
 
Sasa kama huyu ni hivi tu rizimoko si balaa!!!!Sembe jaman sembe via magogoni watu wanakula bata batwani....

wachagueni tena uchaguzi ujao muwape nchi, watoto wa maskini wazidi kukuza soko
 
The king of ngada u know, legademuz sembe, le mzee wa bataz , le kuwafanyaz wenzake pundaz yu no, le mzee gademuz le mzee wa madilizi haramu bongozi , le mzee wa lobbing izi le mzee yu no .... yaani we acha tu , kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Hii ndege ni ya kampuni ya FLIGHT LINK au labda k ndio mmiliki wa hii kampuni
 
Back
Top Bottom