Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mleta uzi angalia sana,Viroba na Maharage sio mwake.
Ukileta uzi ujipange sana,inaonekana hata mambo ya ndege huyajui.
Unajua mtu akikodi basi amenunua,Pole sana.
Jua kwamba unaweza kuwa na chini ya laki tatu na nusu tu ukakodi Ndege ya 5 - 7 Seater kuja Zanzibar na familia yako.

Mkuu jamaa alitaka kupima upepo kujua watu wanamzungumziaje mzee wa kienyeji! Na pia kujua kama watu wanauelewa akasahau kuwa hapa n GT, sasa ukijumlisha na viloba alikuwa haoni vyema.
 
Big F... (I mean "Freaking") deal!!
Hizi ndege used mbona bei yake ni poa kuliko hata Landcruiser/Range mpya?

Kuna mtu anayo moja namfahamu alinunua US haikuzidi hata $200K total landed cost...."vijisent" ambavyo hapa bongo kuna watu chungu nzima wanaweza ku-afford, achilia mbali wale wanaoitwa wazee wa mapouda!!

Mhh!! Bombardier Learjet ya mwaka 1980 inaanzia $600, ndiyo iwe hiyo?
 
Mimi sioni shida wao kumiliki ndege ni fahari kwa Tanzania mbona wafanyabiashara wengi tu wanaweza. Tuache kulalamika tufanye kazi tutafanikiwa. Tuipende kazi na kazi itatunyanyua!
 
who-we-are-banner.jpg


Flightlink Ltd is a schedule airline with Air Operators Certificate (AOC) and Air Service License (ASL) granted by Tanzania Civil Aviation Authority & Kenya Civil Aviation Authority to conduct Schedule and Private Charter flights under Public Transport category within the region


Flightlink operates 8 aircraft on its schedule network and charter flights with a combination of piston, turbo prop and jet engine aircraft with capacity of 5 to 30 seats.


Flightlink operates out of Dar Es Salaam, Zanzibar and Arusha Daily
 
Acheni wivu wa kike, kila kijana mwenye pesa anauza sembe, hata uhakika hakuna wengi wanafata upepo tu kwa sababu umeona jamaa kaandika sembe,
Hivi nchi kama Tz ilivyojaa fursa za biashara iweje isiwe na matajiri vijana,? Tatizo lenu ni mitaji tu kwa nchi kama yetu ukiweza kumiliki mtaji mdogo kiasi fulani kwa muda mfupi sana unaweza kuwa milionea, fursa ziko wazi fanyeni kazi acheni wivu wa kike
 
Hiyo kufunguka ni kwa hisani ya Kije na mzee wake Mkuu kweli maisha haya wakati tuko wadogo huyu jamaa tumekaa nae Mbeya wakati wazee wetu wakiwa madarakani serikalini kabla hawajasitahafu lakini mwezangu katusua kama wasemavyo watoto wa mjini ha!ha!

Mkuu umenikumbusha mbaaaali... Tukasoma nae pamoja na yule ndugu yake nafikiri alikuwa anaitwa Luta/Aluta sikumbuki vizuri jina pale Azimio Pr School pale Mbeya mzee Mwiru akiwa RC....
 
Back
Top Bottom