Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Maelezo yako ni Mswano, lakini, naomba ueleze maana ya WIVU WA KIKE au ukishindwa kutoa maelezo yenye mshiko,FUTA usemi wako na omba Radhi kwa Dada, Mama na Shangazi zetu.

Acheni wivu wa kike, kila kijana mwenye pesa anauza sembe, hata uhakika hakuna wengi wanafata upepo tu kwa sababu umeona jamaa kaandika sembe,
Hivi nchi kama Tz ilivyojaa fursa za biashara iweje isiwe na matajiri vijana,? Tatizo lenu ni mitaji tu kwa nchi kama yetu ukiweza kumiliki mtaji mdogo kiasi fulani kwa muda mfupi sana unaweza kuwa milionea, fursa ziko wazi fanyeni kazi acheni wivu wa kike
 
WEE...umekula maharage ya wapi? utakuwa umerogwa au umemeza mkorogo wa mwalimu wa kibasila kama ujui dili za kinje.
 
Kumbe Uganga wa jadi unalipa. Big up waganga wa jadi wote, wakati umefika nyungo ziachwe muanze kupaa na Jet zenu.
 
wamefisidi rasilimali za taifa hadi wamenunua jet? si mchezo?
 
Ni bongo peke yake ambayo ukipiga picha na ndege au gari basi automatically inatafsiriwa kuwa ni vyako! Ndege inamiliikiwa na flightlink, iko kwenye hangar (bandani) na engine imefunguliwa! mtu anapiga nayo picha anasema ni yake na anakaribia kupaa muda huo huo....:heh:
 
Mleta uzi angalia sana,Viroba na Maharage sio mwake.
Ukileta uzi ujipange sana,inaonekana hata mambo ya ndege huyajui.
Unajua mtu akikodi basi amenunua,Pole sana.
Jua kwamba unaweza kuwa na chini ya laki tatu na nusu tu ukakodi Ndege ya 5 - 7 Seater kuja Zanzibar na familia yako.

hii mukitu inaharibu kizazi chetu sanaa...

kiroba-dec12-2013.jpg
 
Private jet huwa na jina !!!????

Naona hio ina jina “ flightlink“
 
Private Jet ama Chartered Jet? Naona pana shida ya Tafsiri hapa! Anyway, hivi siku hizi hata kule Flight Link mtu aweza-peleka dege lake kama ilivyokuwa mabasi ya Scandinavia siku zile, ama mabasi ya Super Feo siku hizi?
 
Halafu, hiyo Jet yaonekana kabisa iko ndani ya Hangar, chini ya Engine yake cover limetolewa!!! Watu bwana!! Kupenda misifa.
 
jaman hiyo ni ndege ya kukodi wewe uliyoleta uzi hujui hata kusoma, sio ndege anayemiliki hata wewe ukikodi utasema umeenda na ndege binafsi kusafir na ndege binafsi sio maana yake unaimiliki..... hao ni flightlink b serious will u sio unatujazia server
 
Dah!!!!
 
Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.

attachment.php

Ndege nyingine kwenye mabawa kumeandikwa 'don't step on this'. Sasa hao wameegemea na kukalia hilo bawa si wanajitafutia balaa maanake likibonyea kidogo tu flying yake ni shida, na laweza kuipeleka ndege hasikopenda rubani. Edge ya wings pia haitaki disturbance hata kidogo.
 
Back
Top Bottom