ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,199
- 50,920
Muuliza raisi samia alikuwa makamu wa raisi!Nimejaribu kutafuta watu walioitwa mafisadi ,wezi na wapiga Dili walioitwa mbaroni na kuhukumiwa na Ile waliita Mahakama ya mafisadi sijaona hata mmja.
Mataga na waimba Pambio wa Mwendazake naomba mnitakie mafisadi mliowatia mbaroni awamu yenu Kwa sababu naona kama gulipogwa na kudanganywa kama Watoto wadogo.
Naongea haya Kwa sababu Toka awamu ya 6 imeingia madarakani mafisadi ambao imewahukimu walikuwa ni wale Waliiba pesa awamu ya 5 ila waliachwa na Jiwe na wapambe wake.
Mifano ya hao ni aliyekuwa DED WA Arusha Dr Pima
Sabaya mdogo
Watumishi mbalimbali na Sasa Kigogo wa Udart.
View: https://www.instagram.com/p/C1RSppIN9Dm/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kuwashughulikia mafisadi waliolelewa na awamu ya 5 Kwa vitendo.
Muulize bibi yakoFisadi wa Udart Ahukumiwa jela miaka 3 na faini.
View: https://www.instagram.com/p/C1RSppIN9Dm/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Bibi yangu hakuwa Chawa wa Mwendazake.Muulize bibi yako
Walihukumiwa miaka mingapi hao?Seth, rugemalila,
Wewe endelea kusifu hilo bomu lako la kienyeji achana na chuma MagufuliNimejaribu kutafuta watu walioitwa mafisadi, wezi na wapiga Dili walioitwa mbaroni na kuhukumiwa na ile waliita Mahakama ya mafisadi sijaona hata mmja.
Mataga na waimba Pambio wa Mwendazake naomba mnitakie mafisadi mliowatia mbaroni awamu yenu kwa sababu naona kama tulipogwa na kudanganywa kama Watoto wadogo.
Naongea haya kwa sababu aoka awamu ya 6 imeingia madarakani mafisadi ambao imewahukimu walikuwa ni wale waliiba pesa awamu ya 5 ila waliachwa na Jiwe na wapambe wake.
Mifano ya hai ni aliyekuwa DED WA Arusha Dr Pima, Sabaya mdogo Watumishi mbalimbali na sasa Kigogo wa Udart.
===
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka 15 yakiwamo kuisababishia UDART hasara ya Sh. milioni 750, kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha haramu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kughushi.
Katika shtaka la kuongoza genge la uhalifu, washtakiwa wanadaiwa katika nyakati tofauti kati ya Mei 25 na Julai 10, 2016 katika maeneo tofauti Dar es Salaam, waliongoza genge la uhalifu na kujipatia Sh. milioni 750 kutoka akaunti ya UDART, Benki ya NMB Tawi la Bank House.
Washtakiwa hao pia walikuwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kughushi, mawili ya kuwasilisha nyaraka za uongo na mashtaka tisa ya utakatishaji fedha haramu.
Nipashe
====
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kuwashughulikia mafisadi waliolelewa na awamu ya 5 Kwa vitendo.
Nataka unipe orodha ya mafisadi Waliohukumiwa na chuma Mwendazake 😂😂Wewe endelea kusifu hilo bomu lako la kienyeji achana na chuma Magufuli
kikweteNimejaribu kutafuta watu walioitwa mafisadi, wezi na wapiga Dili walioitwa mbaroni na kuhukumiwa na ile waliita Mahakama ya mafisadi sijaona hata mmja.
Mataga na waimba Pambio wa Mwendazake naomba mnitakie mafisadi mliowatia mbaroni awamu yenu kwa sababu naona kama tulipogwa na kudanganywa kama Watoto wadogo.
Naongea haya kwa sababu aoka awamu ya 6 imeingia madarakani mafisadi ambao imewahukimu walikuwa ni wale waliiba pesa awamu ya 5 ila waliachwa na Jiwe na wapambe wake.
Mifano ya hai ni aliyekuwa DED WA Arusha Dr Pima, Sabaya mdogo Watumishi mbalimbali na sasa Kigogo wa Udart.
===
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka 15 yakiwamo kuisababishia UDART hasara ya Sh. milioni 750, kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha haramu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kughushi.
Katika shtaka la kuongoza genge la uhalifu, washtakiwa wanadaiwa katika nyakati tofauti kati ya Mei 25 na Julai 10, 2016 katika maeneo tofauti Dar es Salaam, waliongoza genge la uhalifu na kujipatia Sh. milioni 750 kutoka akaunti ya UDART, Benki ya NMB Tawi la Bank House.
Washtakiwa hao pia walikuwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kughushi, mawili ya kuwasilisha nyaraka za uongo na mashtaka tisa ya utakatishaji fedha haramu.
Nipashe
====
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kuwashughulikia mafisadi waliolelewa na awamu ya 5 Kwa vitendo.
Nataka unipe orodha ya mafisadi Waliohukumiwa na chuma Mwendazake 😂😂
kikweteexpand...
Muulize bibi yako aliyekuwa makamuBibi yangu hakuwa Chawa wa Mwendazake.
Weka orodha mzee
Unajua Nashangaa Hawa Wahuni Wanapata Wapi Ujasiri Wakumsagia Kunguni Mzilankende Ili AnukeWewe endelea kusifu hilo bomu lako la kienyeji achana na chuma Magufuli
Makamu sio mtendaji wa SerikaliMuulize bibi yako aliyekuwa makamu
Kaacha vitu vinaonekanaUnajua Nashangaa Hawa Wahuni Wanapata Wapi Ujasiri Wakumsagia Kunguni Mzilankende Ili Anuke
Yule Baba Alitufaa Sana Tanzania Na Alifanya Kazi Chap Chap
Alikuwa anashika mkasi wa mafile muulizeMakamu sio mtendaji wa Serikali