Mwenye nia afanye hivi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye nia afanye hivi..

Discussion in 'Love Connect' started by Tugutuke, Apr 19, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Bila kupoteza muda ku type, naomba niwe rafiki yako hasa mtoto wa kike,maana wa Kiume nimewazoea sana,siku zote wana habari za kwenda bar tu. So,natamani marafiki wa kuchat nao kwenye Facebook,twitter,the grid,and Jf. Hata via 4n no. Kama uko serious ni Pm afu tupeane contacts. Thanx
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  haya watakutafuta. but si takuwa nao wengi? utawezaje kuchat na marafiki wote wa fb, twitter na jf? unazodola nyingi wewe. au za munyama?
   
 3. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nina simu mbili na laptop moja,so simu moja Facebook,nyingine twitter,na laptop ina deal na The Grid na jf
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmhhhh tamaa mbaya..muziki 20%..
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Una shughuli ingine kweli? Mi mchina wangu tu ina consume muda kweli.
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Umegundua njia ya kupata income wakati wa kuchat nini..? au ni multi-task unaweza kufanya mengi kwa wakati mmoja au unafanya kazi ya security hivyo inabidi ukae macho na chatting inapitisha muda kuliko kukaa tu..

  Anyway sasa si inabidi muwe na same interests za kuongea au upo kwenye kila fani na unaweza kuongea chochote
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  dogo nahisi sasa umeuchoka u-anaume unaamie-KIKENI....

  hapo nilipo-bold panaashiria sasa unataka mazoea na watoto wa kike ile waanze kukupeleka saluni wakupake wanja na uanze kuvaa bikini zao na kisha uanze kugongwa na mabwana zao then mgombee mabwana mara usutwe mara uchezwe kama mwali...kisha uwe mtoto si-rizki..

  ONYO
  ..
  next time tafuta maneno au tafakari maneno yako kabla hujayaweka hadharani..tutakuhukumu kwa kutumia ushahidi wa picha kama huu niliotumia.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ni ukosefu wa ajira ndo unafanya wa2 mchat ovyo namna hii au?
   
Loading...