Mwenye namba hii kapata ajli kalazwa Muheza, Hajitambui

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
0
Wakuu nimepata sms muda siyo mrefu kwenye number yangu ya simu ikinitaarifu kuwa mwenye hii namba amepata ajali na gari ndogo kalazwa hospitali ya Muheza hajitambui.Number hii siifahamu ila ambaye atakuwa anaifahamu labda amjulishe mtu wa karibu wa huyo mtu.

+255755819993
 
Liz Senior

JF-Expert Member
Apr 19, 2007
485
170
Ingekuwa vyema pia kutoa namba ya gari na iana ya gari alilokuwa nalo pengine ingesaidia zaidi kupata mtu anayemfahamu. Kama nimekuelewa vyema amepata ajali na gari dogo, ina maana alikuwa anaendesha hilo gari. Ni rahisi zaidi mtu kutambulika kwa hilo
 
Mkuu,Ningekuwa nayo unadhani ningeacha kupost.sms imeingia hivo sina la zaidi mpaka nimeanza ku doubt its validity.
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,852
0
Wakuu nimepata sms muda siyo mrefu kwenye number yangu ya simu ikinitaarifu kuwa mwenye hii namba amepata ajali na gari ndogo kalazwa hospitali ya Muheza hajitambui.Number hii siifahamu ila ambaye atakuwa anaifahamu labda amjulishe mtu wa karibu wa huyo mtu.

+255755819993

waweza iforward watu wa radio inayosikika na wengi? Na namba za gari kama alivyosuggest Liz.
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,743
2,000
Kevo tunashukuru sana kwa message yako. Maana siku hizi hata damu hospital za serikali na binafsi "wanajitahidi" kuuza. JF inafanya mema sana kuokoa hata maisha ya mtu binafsi, thanks JF:D
 
Kungurumweupe

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
317
0
Nachukua nafasi hii kuwashauri wana JF kuwa, ni vizuri tukajijengea utamaduni wa ku-serve kwenye simu zetu namba ya mtu unayeona ni muhimu ajulishwe pindi upatapo ajali mbaya kwa jina la ICE(yaani, In-Case of Emergeny).

Hii huwawezesha madaktari pamoja na watoa huduma ya kwanza kujua ni nani hasa wa kupewa taarifa ya ajali yako kwani wao (madaktari na watoa huduma ya kwanza) tayari wanafahamu umuhimu wa hiyo ICE kwenye simu za mkononi.

Just assign ICE against the number of the person you wouldlike to be informed incase of emergeny. Doctors and First Aid Responders know how to retrieve and use the number.

Vilevile kama wewe utashiriki kwenye tukio lolote la kutambua majeruhi wa ajali yoyote, basi jaribu kuangalia kama kwenye simu zao wame-serve namba yenye jina la ICE kisha toa taarifa kwa mwenye hiyo namba.
 
Sam GM

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
536
195
Nafikiri hii ICE inaweza kuwa msaada mkubwa sana kama watu pia wanajua hiyo. Mie ndio leo nimeisikia na nitafanya hivyo.
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,458
2,000
Wakuu nimepata sms muda siyo mrefu kwenye number yangu ya simu ikinitaarifu kuwa mwenye hii namba amepata ajali na gari ndogo kalazwa hospitali ya Muheza hajitambui.Number hii siifahamu ila ambaye atakuwa anaifahamu labda amjulishe mtu wa karibu wa huyo mtu.

+255755819993
Tafadhali irushe kwenye TV na FM radio stations itapata audience pana zaidi, Mungu akubariki.
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,458
2,000
Nachukua nafasi hii kuwashauri wana JF kuwa, ni vizuri tukajijengea utamaduni wa ku-serve kwenye simu zetu namba ya mtu unayeona ni muhimu ajulishwe pindi upatapo ajali mbaya kwa jina la ICE(yaani, In-Case of Emergeny).

Hii huwawezesha madaktari pamoja na watoa huduma ya kwanza kujua ni nani hasa wa kupewa taarifa ya ajali yako kwani wao (madaktari na watoa huduma ya kwanza) tayari wanafahamu umuhimu wa hiyo ICE kwenye simu za mkononi.

Just assign ICE against the number of the person you wouldlike to be informed incase of emergeny. Doctors and First Aid Responders know how to retrieve and use the number.

Vilevile kama wewe utashiriki kwenye tukio lolote la kutambua majeruhi wa ajali yoyote, basi jaribu kuangalia kama kwenye simu zao wame-serve namba yenye jina la ICE kisha toa taarifa kwa mwenye hiyo namba.

Noted with thanks
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom