Mwenye maoni juu hii kitu nisaidie

Piazza jr

Member
Oct 30, 2011
70
3
Habari kwenu wana jamii forum, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino Tanzania. Nimeanzisha fans page kwa facebook ambayo ni 'YOUTH MOVEMENT IN TANZANIA' na pia nilikua nataka kuiendeleza hii iwe social community yenye malengo hapa Tanzania kwa ajiri ya vijana na pia iwe kama NGO's hapo badae. So kama una idea yoyote tafadhali nitumie kwa hii email mojawapo (haddnan@gmail.com,,haddynan@ovi.com) ahsanteni sana.
 
Huwa sipendi kusikia neno NGO. Naona kama ni wizi mtupu.
 
Habari kwenu wana jamii forum, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino Tanzania. Nimeanzisha fans page kwa facebook ambayo ni 'YOUTH MOVEMENT IN TANZANIA' na pia nilikua nataka kuiendeleza hii iwe social community yenye malengo hapa Tanzania kwa ajiri ya vijana na pia iwe kama NGO's hapo badae. So kama una idea yoyote tafadhali nitumie kwa hii email mojawapo (haddnan@gmail.com,,haddynan@ovi.com) ahsanteni sana.

Dogo karibu JF jimwage utakavyo
 
Back
Top Bottom