Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,513 Reaction score 5,134 Jan 17, 2023 #1 Nina siku kama ya tano sasa,Instagram yangu haipate update yeyote na imesimama kabisa habar zilizokwamia ni zilezile. Mwenye kujua na kunisaidia hili jambo anielekezi japo kuna hatua nimefuata lakini wapi
Nina siku kama ya tano sasa,Instagram yangu haipate update yeyote na imesimama kabisa habar zilizokwamia ni zilezile. Mwenye kujua na kunisaidia hili jambo anielekezi japo kuna hatua nimefuata lakini wapi
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,011 Reaction score 150,547 Jan 17, 2023 #2 Update application
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,473 Reaction score 46,427 Jan 17, 2023 #3 Weka bando
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,513 Reaction score 5,134 Jan 17, 2023 Thread starter #4 Lee said: Update application Click to expand... Nilisha fanya hivyo
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,513 Reaction score 5,134 Jan 17, 2023 Thread starter #5 Vishu Mtata said: Weka bando Click to expand... Nishawekq gb 1
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,606 Reaction score 119,839 Jan 17, 2023 #6 Refresh Simu au izime kabisa kisha uiwashe tena.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 119,827 Reaction score 195,824 Jan 18, 2023 #7 Re-start au Reboot hiyo cm yakoo,
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,513 Reaction score 5,134 Jan 18, 2023 Thread starter #8 cocastic said: Re-start au Reboot hiyo cm yakoo, Click to expand... Yote nimefanya
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 119,827 Reaction score 195,824 Jan 18, 2023 #9 prince mrisho com said: Yote nimefanya Click to expand... Ooooh poleee
Bwana kaduga JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 864 Reaction score 1,818 Jan 18, 2023 #10 prince mrisho com said: Yote nimefanya Click to expand... Sim yako ni aina gani ili nikuelekeze cha kufanya
prince mrisho com said: Yote nimefanya Click to expand... Sim yako ni aina gani ili nikuelekeze cha kufanya