Mwenye kufahamu plz

Mwenye kufahamu plz

m2me

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
65
Reaction score
27
Naomba mdau yeyote mwenye ufahamu juu ya kiwango cha kodi inayokatwa kwenye mshahara wa mfanyakazi ni asilimia ngapi? anijuze tafadhari.
 
Hiyo kodi inatokana na jinsi mshahara wako ulivyo kila kiwango cha mshahara kina asilimia yake ambayo wanakata. Tembelea TRA kaulize watakuelekeza tu
 
Mtu analipa kodi kulingana na anachokipata (PAYE).Ingia website ya TRA,angaliana "on line services" chagua PAYE calculator.
 
Back
Top Bottom