Mwenye kuandika namba ya mwisho ndo mshindi.

Tanwise

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
466
1,031
Kuzitaja namba huwa zinaleta utata kiasi kwamba wakati mwingine ni kituko.mfano MTU anasema laki kumi.
Ili tuende sawa unataja namba na mwingine anaendelea ulipoishia ili kuona mwisho wa kutamka hizi namba..
Kwa mfano
(1) moja
(2)mbili
(3)tatu
(4)NNE
.
.
.
.

Mpaka tujue IPI namba ya mwisho
 
Back
Top Bottom