Mwenye kitabu hiki nakiomba

Mwenye kitabu hiki nakiomba

Joined
Jul 21, 2019
Posts
58
Reaction score
72
Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
2610287_Screenshot_20201106-151208.png
 

Attachments

  • Screenshot_20201106-151208.png
    Screenshot_20201106-151208.png
    32.3 KB · Views: 10
Hutonufaika na chochote humo maana jamaa kaongopa mambo mengi tu humo...
nadhan

Nadhani hakuuliza faida wala hasara ,
Mtoa post kaomba Kitabu asome.
Kama unacho mwambie ni jinsi gani anaweza kukipata
 
Back
Top Bottom