Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 282
Kila msemo au methali au kitendawili huwa kina maana yake na ufafanuzi wake pia...
ila Kuna huu msemo unasema mwenye huruma hanaga bahati.. huwa siuelew kabisa maana yake kama kuna mtu anajua maana yake au ufafanuzi wake wowote ule atiririke ikiwezekana na mifano juu
Msaada Apo ninjaz