Mwenye fursa Mwanza

Mwenye fursa Mwanza

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,115
Nina mtaji WA laki 7. Nahitaji mtu mwema anaejua kwa mtaji huo naweza kufanya nn japo nipate elfu tano kwa siku au Kama kuna biashara anafanya tuunganishe nguvu pamoja

Wale wa Mambo ya forever sjui smile we care mkae mbali kabisa

NB: Matapeli pia msjidanganye tamtoa roho mtu wala sihitaji enda polisi ila takushughurikia. Nahitaji mtu anaejua pambana

Mahali: pawe Mwanza city
Mawasiliano: 0748 628 429
 
Laki 7 mbona kubwa sana mzee baba,Fanya biashara ya kuuza juice za matunda ile ya kutengeneza mwenyewe kwenye blender,tena mtaji wake ni mdogo nunua blender yako elfu 70,vikopo vya kuwekea juice au waweza nunua glass,mirija,kama ukihitaji friji yako mwenyewe nunua ya bei chee laki 3 au waweza muomba mtu awe anakuhifadhia kwenye friji lake kwa kuchangia gharama za umeme.Namna ya kuuza ni kutembeza kwenye mikusanyiko ya watu wengi isikae sehemu moja.Hii biashara haina cha kodi wala tra ukiwa na jitihada ya kuuza una uhakika wa kulaza faida ya 15000-20000.KAZI KWAKO
 
Nakuelewa mkuu ujue shida IPO kuanza biashara ambayo hujawai ifanya wengi wamepoteza pesa nyingi kwa kuambiwa mbona kitu Fulani knalipa na mtu sababu ana mtaji akaingia kichwa kichwa ikala kwake mi ningependa zaidi mtu anayefanya biashara hata Kama ni hiyo ya juice ikibd tushirikiane ili nipate udhoefu kuna bro wangu alipoteza mil 10 mwanza alifungua saloon ya kike ya kisasa akishirikiana na mkewe ikiwa na vifaa vya kisasa akashawishiwa sana na watu na mkewe pia haikumalza hata mwaka ikawa imefilisika sababu hakuwa na uzoefu yeye na mkewe ila mtaji walikuwa nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom