MWENYE DAWA YA JINO

MWENYE DAWA YA JINO

Hili swala nimekuwa nikiwapa sawa humu ndani hii mara ya tatu na wapo walionifata inbox kunishukuru.

DAWA YA JINO NI MKOJO WAKO.

Matibabu.
1. Wacha kinyaa.
2. Amka alfajiri sana ukiwa kabla ya saa 11 itapendezq zaidi.
3. Fanya ufanyavyo uupate ule MKOJO WA kwanza muda huo ukiamka.
4. Kinga MKOJO wako wivu mkuu upate walau wakujaa kikombe chai.
5. Then sukutua meno kwa kutumia MKOJO wako ulioukinga hususani ule upande WA JINO linalouma.
6. Kisha tema huo MKOJO (usiumeze). Kisha sukutua tena
7. Ukimaliza unaweza kuendelea kulala au ukasuburi nusu saa then unaweza kuswaki.
8. Rudia tena asubuhi inayofata.
9. Kaa kwa kutulia subiri matokeo ambayo kwa uhakika utaanza kuyaona siku ya kwanza tuu.
Shukrani kwa mawazo yako ila mmoja dah 🤔
 
Chukua amoxicillin na hydrogen peroxide na vigor doctor metronidazole utakuja kunishukuru na diclopar
 
Back
Top Bottom