Mwenye data hizi kuhusu askofu kiongozi josephat ngwajima atujuze

mossad 03

JF-Expert Member
May 15, 2013
523
439
Salam wakuu,
Hivi kanisa la ufufuo na uzima la mchungaji kiongozi ngwajima lina rough estimations au exactly figure(kama zipo) ya idadi ya waumini au wafuasi wangapi??
Coverage ya kanisa hili huko mikoani na wilayani as well as vijijini ikoje?limefanikiwa kusambaa kiasi gani(sijabahatika kuona matawi yake mikoani kama ninavyoona atleast makanisa ya kakobe mikoani)
Historia fupi ya utume wa ngwajima na kanisa lake ikoje?
Nimewahi sikia pia kipindi fulani kuwa mchungaji huyu anafufua misukule na habari hii ilijizolea umaarufu sana,je details za hiki kisa zikoje?
Naamini humu kuna waumini wake na watu wasio waamini wake lakini wanamfahamu askofu huyu.naomba majibu yenye staha,weledi na lengo la kujenga na si maneno yasiyofaa kama niliyoyasikia kwenye audio ya mchungaji huyu dhidi ya kardinali pengo(sina maana ya kumjudge au kumattack basing on that audio)
Mwisho kama huna unachokijua kati ya taarifa nilizoomba apo juu au huna constructive comment over the topic if ur out of the reference qns naomba ubakie msomaji kama great thinkers wengine wafanyavyo na ujifunze pamoja na mimi kutoka kwa wenye contects na si kucomment rubbish
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom