Kimsingi kubenea aliishia kidato cha nne na akasoma Chuo cha uandishi wa habari kwa ngazi ya Certificate,baadae alipata kibarua gazeti la Rai ambako hakudumu sana.
Alianzisha gazeti lake huku akisaidiwa na Rafiki zake lkn mwaka 2011 kubrnea aliitwa na kupewa Onyo kali na Mh Lowassa kutokana na kumchafua sana gazetini.
Baadae Kubenea alijengewe Nyumba na Mzee Lowassa yenye thamani isiyopunfua Sh .mil 250 pamoja na kudhaminiwa na Lowassa huyohuyo kwenda kusoma mambo ya Habari nchini Afrika ya kusini.
Aliporejea akaanza kubadilika ktk uandishi na ndipo alipoianza kazi rasmi ya kumsafisa Lowassa kupitia gazeti lake.
Hiyo ndiyo cv ya kubenea