Sie tulioishia darasa la saba, tunatukanwa sana na kudhalilishwa kama si lolote wala chochote katika Tanzania yetu, na wakati wengine mnapanda daladala, tax, bodaboda zinazomilikiwa na sisi darasa la saba na hata wengine mnaishi katika nyumba zetu tuliojenga sisi darasa la saba kwa umbumbumbu wetu huu huu. Somo KUFELI ELIMU SIYO KUFELI MAISHA.