mpingomkavu
Member
- Nov 26, 2010
- 94
- 0
Naomaba cv ya mh. Salome Kaganda
Naomaba cv ya mh. Salome Kaganda
Mwana JF Ambrose una maana rtd jaji makame naye ni muadilifu????????
Naomaba cv ya mh. Salome Kaganda
Sijawahi ona Judgement yake hata moja!Huyu mama ni muadilifu mtukuka. Msianze kumzushia mambo ya uongo hapa.
Muadilifu kwa ushahidi upi? Uweke hapa!Huyu mama ni muadilifu mtukuka. Msianze kumzushia mambo ya uongo hapa.
anza na yako kwanza afu ndio uombe ya SalomeNaomaba cv ya mh. Salome Kaganda
...Judgement yake ninayoifahamu mimi ni ile aliyomtimua yule Mteuliwa wa u DC muda mfupi kabla ya kuapishwa pale ikuluSijawahi ona Judgement yake hata moja!
Nimegoogle sijapata hata moja au kutajwa popote! Ukisoma judgement za watu kama hawa, utaona weledi wao. Kuna judgement ukisoma unaona kabisa kuwa huyu hamna kitu, hasa kama una elimu ya sheria kidogo....Judgement yake ninayoifahamu mimi ni ile aliyomtimua yule Mteuliwa wa u DC muda mfupi kabla ya kuapishwa pale ikulu
Kwanini wasitiliwe shaka wakati na wao wamejiingiza katika biashara haramu ya kupiga dili????Tunaanza kuwatilia shaka hata majaji? Kama taifa tunapaswa kuwekana sawa. Haileti picha nzuri. Ila uko right kuelezea hisia zako.
lilikuwa ombi la 2010 uwe unasoma tarehe kwanzaAlivyosema Lowasa Na Sumaye wanaweza kushitakiwa kwa kutoa siri za Serikali.... tayari mmeanza kumchambua.!
Kwani majaji sio binadamu ni malaikaTunaanza kuwatilia shaka hata majaji? Kama taifa tunapaswa kuwekana sawa. Haileti picha nzuri. Ila uko right kuelezea hisia zako.