arusha nalompa
Member
- Aug 4, 2016
- 83
- 37
Hahahaaaa sodoka bhanamwacheni ...Elimu kwenye ubunge haitumik....
Hahahaaaa sodoka bhanamwacheni ...Elimu kwenye ubunge haitumik....
Inawezekana kudisco aisee maana haiwezekani ukamaliza degree ya Mzumbe alafu ukaenda kufanya Diploma Bamaga (ustawi wa jamii)! Kama kweli uhakiki wa vyeti upo na huyu jamaa kapeleka hizi taarifa hadi bungeni alafu akaachwa bila kuguswa nitaamini ni maigizo au 'conspiracy'.Alidisco mzumbe.. Degree hana