Mwenye cv ya Bob juniour aitiririshe hapa.

ana Masters of Eng alizaliwa mwaka 1981

Yoyo wacha kutudanganya bana wakati nikiwa form six st marys yy alikua form one st marys pia na alivofika form two Ali drop out from school na hakuendelea tena asa hyo mastrs kaipata wapi
 
Si naskiaga huyu mtu ni shoga,au ameacha siku hzi?
 
Back
Top Bottom