DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 529
- 959
Akiwa mkoani utamsafirisha?Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini.
Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama.
Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja na huduma nyingine za kibinadamu. NB: Mwezi wa kumi wanahamia Dar.
Karibu PM kwa alie na koneksheni.
Mkoa gani madam, kama ana maadili na malezi mazuri naimani hawezi kusumbua.Akiwa mkoani utamsafirisha?
Vipi tukimsafirisha na bahati mbaya ikatokea akakusumbua?
All the best, mshahara mnono huu.
Nyakanazi iko wapi?Vipi posho ya mtoa connection ipo mdada yupo Nyakanazi ni wewe kutuma nauli tu
Njia panda ya kwenda kigoma na KageraNyakanazi iko wapi?
Ulozi mwingi sana huko ....Njia panda ya kwenda kigoma na Kagera
Ulozi ni imani huwezi kulogwa kama wewe sio mshirika wa hizo mamboUlozi mwingi sana huko ....
Sawa we mwengize king tu mdau ajichanganye...Ulozi ni imani huwezi kulogwa kama wewe sio mshirika wa hizo mambo
Umesoma mpaka la ngapi mkuu bado unasumbuliwa na hizo mambo?Sawa we mwengize king tu mdau ajichanganye...
Mwenyewe nikajua kuna dada wa kazi ameshachafua hali ya hewa.Dah.. nimeshtuka hapo kwenye connection
Tafuta wa hukohuko Moshi.Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
You missed 🤔🤔Akiwa mkoani utamsafirisha?
Vipi tukimsafirisha na bahati mbaya ikatokea akakusumbua?
All the best, mshahara mnono huu.
Mimi nakukumbuka sana karibia kila sikuYou missed 🤔🤔
Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini.
Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama.
Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja na huduma nyingine za kibinadamu. NB: Mwezi wa kumi wanahamia Dar.
Karibu PM kwa alie na koneksheni.