Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Unafikiri Kwanini Mungu Alimuamrisha Musa Kujmtengeneza Sanamu ya Nyoka.. kwani Hakuweza Kuwatibu Watu Direct...

Acheni Kubeza Vitu vitakatifu

Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;

Yohana 3 :14

Ile ilikuwa ni ishara tu lakini fundisho kuu ni hilo..
haina maana kuwa nasi tuanze kutegemea uponyaji kwenye vitu vingine badala ya Mungu.
 
Majaribu2013

Wewe badala ya kumwangalia Mungu unatia imani kwenye maji? Pole. Njoo kesho Full Gospel Bible Fellowship Mwenge Dar es Salaam kuna maombi kwa wenye shida mbalimbali kuanzia saa nane mchana.

Tatizo hujui hata maana ya Roho Mtakatifu, Imani, Neno la Maarifa. Ni ngumu kukuelekeza.
 
ninayo Lita moja nauza kwa $250

Karibu sana (nime ku inbox namba yangU)
 
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;

Yohana 3 :14

Ile ilikuwa ni ishara tu lakini fundisho kuu ni hilo..
haina maana kuwa nasi tuanze kutegemea uponyaji kwenye vitu vingine badala ya Mungu.

Wewe mkristo ndo Unaamini hivyo kuwa ni Fundisho Ila Hayo Maelezo yako sijui Nyoka Alimaanisha Yesu Waisrael hawayatambui..........

Na Hujanijibu swali Langu Kwanini Mungu Aliwaambia Waangalie Nyoka Kwanini Wasingekataa Wakasema Tunakuomba Wewe tu n Tunakuangalia Wewe tu.. Hatunuangalii Nyoka?
 
Nyoka wa shaba alikuwa ni mfano wa Yesu Kristo.

Waisrael hawana Hayo Maelezo hapo Hawamtambui Yesu Sawa..

Waliomtazama nyoka hata walipoumwa hawakufa. Wanaomwamini Yesu hata kama wanaumwa wanapona.

Kwanini Wamtazame Nyoka Wasimtazamie Mungu Anayewaponya.. Maana Nyie Ndo mnaobeza Matumizi ya Vitu Vitakatifu ila Mkiambiwa Mlete Maelezo Mnaanza Kutoa Sifa Za Vitu Mlivyovikataa
 
Maji,Mafuta,Vitambaa vya kujifunga,Stickers vyote haviwezi kufanya kazi iwapo huna imani,hizo zote ni media zinazokufanya wewe uweze kufikia au kupokea nguvu za kiroho.

Sasa Mbona Mnavibeza... unafikiri Mtu anayeyatafuta Hayo Maji hana Imani Nayo?
 
elewa kwanza,.. ukibase hope kwenye maji lazima utaabike, base hope na faith kwa Mungu kwanza..sasa kama hayo maji hayapatikani, au yasifike mpaka wiki ijayo mtu utafanyeje?utaweka faith yako on hold mpaka upate maji?! hapa mtu kafanya maombi ila anategemea yale maji ili mambo yakae sawa zaidi, sasa maombi aliyofanya ya nini?!hayana nguvu au?!...imani itakuponya kweli ila mtu unatakiwa uzingatie imani yako iko wapi na kumbuka baada ya Yesu kufa msalabani yote yalikwisha, ile damu iliyomwagika ndio silaha yetu kwa sababu ilikuwa kwa ajili yetu, hivi vingine extra tu, ile pia ni protection tosha

Sasa Kama Imani inakuokoa Kwanini Bado Unaenda Kwa Mchungaji Akuombee? Je Kwann Usikae Ndani Ukajiponya Mwenyewe..
 
Sasa Kama Imani inakuokoa Kwanini Bado Unaenda Kwa Mchungaji Akuombee? Je Kwann Usikae Ndani Ukajiponya Mwenyewe..

unafikiri mi naendaga kuombewa?toka nimempokea Yesu kama Mwokozi wangu, never have i gone kuombewa...nimefundishwa kuomba, na hicho ndicho ninachokifanya, nikiona tatizo najua kuna sehemu nimeenda wrong au nimekuwa vulnerable na nilishaandika kwenye jukwaa la dini jinsi maombi yangu yamenisaidia katika mengi tu including maumivu ya mgongo kupotea hadi leo hii, ni maombi tu
 
Kwahiyo Wakati Mchungaji Anamuomba Mungu Kwa Ajili ya Waumini huwa Unatoka Nje?
 
Kwahiyo Wakati Mchungaji Anamuomba Mungu Kwa Ajili ya Waumini huwa Unatoka Nje?

hadi pale anapoomba mi ninakuwa nimeshajiombea na ninaamini Mungu kanisikia, yeye kuomba pale ni wajibu wake kama Muchungaji, kama ilivyo wajibu wangu kuwaombea wengine pia..Mchungaji is your guide, akuelekeze the way to go, sasa ukimtegemea yeye kukuombea na mie niwe nimekaa tu hapo itakuwa shida, ananionyesha njia
 
Wewe umesema Huwa Hauombewi... Sasa Iwwje Sasa Mchungaji Anaomba Wewe Unamuangalia Tu wakati Umesema Hapo Juu Hun Haja Ya Kuombewa... haijalishi Ni Wajibu wake Au laaah Wewe umeshakataa Kuwa Huombewi...

N Kama Ni wajibu wako kuombea Wengine Mbona Wewe Hutaki Kuombewa.?...
 
we you insinuated kama mtu kwenda kwa Mchungaji na kuomba uwekewe mikono na kuombewa, let me clear it, i do not do that, siendagi kufanya hivyo, Mchungaji akiwa pale anafanya jukumu lake la uchungaji,..there is kuombewa in general na kuombewa one on one, i do not do one on one, general ni kama pale mbele kama liturgia inavyosema..sijui why unashindwa kuelewa
 
Fisadi alileta yakutosha..nenda Dodoma na kidumu..alisema akikatwa jina atayamwaga hukohuko Dodoma..mvizie kesho mchana atakuwa anayamwaga rasmi
 
we you insinuated kama mtu kwenda kwa Mchungaji na kuomba uwekewe mikono na kuombewa, let me clear it, i do not do that, siendagi kufanya hivyo, Mchungaji akiwa pale anafanya jukumu lake la uchungaji,..there is kuombewa in general na kuombewa one on one, i do not do one on one, general ni kama pale mbele kama liturgia inavyosema..sijui why unashindwa kuelewa

Nimeshahudhuria Makansa ya Kilokole Nikaona n Kuchunguza Wanachokifanya..

Kuwekewa Mikono na Kuombewa Ni kitu cha Kawaida iwe individual au Group..... Sasa Sijui why unakimbia Kivuli chako....... Eti kuombewa Hutaki sasa Si bora Uwe mpagani Tu. Msingi mkuu w Makanisa Yenu ni Kuombewa Sasa Nakushangaa Hutaki Kukaa Katika Misingi ya Kanisa Lako..

Hautakuwa Tofauti na Petro Ambaye Alikataa Kuoshwa Miguu na Yesu....
 
Anointing water haiuzwi utatapeliwa tu hakuna mtu ambaye atatoka nigeria akuuzie na ifanye kaz kuwa na imani ikiwezekana washa tv emmanuel usubir muujiza wako God is still saying something

Ni kweli uko sahihi mkuu, hata yeye TB Joshua husema kuwa yale maji ya Baraka hayauzwi na hutoa bure tu. Imani ndiyo huponya hivyo cha msingi mwamini Mungu wako na umwombe atakuponya tu. Ukiweza kupata annointing water bila imani kwa Mungu wako bado ni shida
 
Kwa sisi Wakristo, kufa msalabani na kufufuka kwa Kristo kulitufungua toka kwenye vifungo vya shetani na kutukabidhi nguvu ya Jina lake kukabiliana na maovu yote. Kupitia kwake, tunahakikishiwa kufika kwa Mungu Baba kwenye ufalme wa milele. Hiyo ndiyo imani tunayotakiwa kuifuata kwa nguvu zetu zote. Kwa Jina lake tumepewa nguvu za ajabu za kutatua matatizo yetu yote na hata kuwasaidia wenzetu walio tayari kumpokea.

Hizi njia za ziada: maji, vitambaa, rozari, n.k. si za msingi (secondary) na zina hatari ya kupotosha (kwa wenye imani haba) kama ilivyo kwa njia za michepuko. Kuna wengi wameishia kujiweka kwenye makundi ya viongozi wao wa "kidini/kiroho" - makundi ambayo kila kukicha ni mapambano kama vile mambo ya kiroho ni kama klabu za mpira. Eti nani ni zaidi kuliko mwingine "kiroho". Huwa nashangaa na kusikitika sana kuona watu wanahama kabisa toka kwa Kristo na kukumbatia binadamu wenzao katika kutafuta njia ya uzimani kwa staili za ajabuajabu.
 
Back
Top Bottom