Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Mshamba unaabudu binadamu mwenzio!! KIZAZI KIBOVU soma alama za nyakati walioenda kwa babu Loliondo wako wapi??? Yeye mwenyewe Joshua alishindwa kujitabiria jengo lake kuua mamia, mtadanganywa mpk lini wajameni?????
 
Nimeshahudhuria Makansa ya Kilokole Nikaona n Kuchunguza Wanachokifanya..

Kuwekewa Mikono na Kuombewa Ni kitu cha Kawaida iwe individual au Group..... Sasa Sijui why unakimbia Kivuli chako....... Eti kuombewa Hutaki sasa Si bora Uwe mpagani Tu. Msingi mkuu w Makanisa Yenu ni Kuombewa Sasa Nakushangaa Hutaki Kukaa Katika Misingi ya Kanisa Lako..

Hautakuwa Tofauti na Petro Ambaye Alikataa Kuoshwa Miguu na Yesu....

Ndugu mi ni KKKT na nimeokoka, just because nimeokok haimaniishi niko kanisa la kilokole,sio kila aliyeokoka anahama kanisa, sioni reason ya kuhama,Mungu ni yule yule na nimeokoka katika kanisa langu ninalosali kila siku na nitaloendelea kusali kila siku...get your facts right kwanza ndugu
 
Back
Top Bottom