Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

jamani, kwa nini usiamini katika sala zako, maji yaliyoguswa na mtu yanakusaidia nini?jamani hebu lets grow our faith in God and our prayers, tusitegemee hivi vitu vya duniani, mtegemee Mungu wako, piga goti chini, omba

alafu haya majina mnayojipa, kama lako Majaribu2013 sasa si mwaka huo ulikuwa na majaribu sana na yanaendelea, jamaniii

Natamani awe amekuelewa na kubadilika
 
Acheni kujidai mnajua sana kuliko wengine! Shida ya wabongo tunajiona tunajua mno kuliko wengine. Ona kama wewe waajabu kabisa eti amka saa 8-9 omba. Pooorsheratu. Kama hujui masuala ya viwango vya rohoni nyamaza tu.

Kuna sababu nyingi na faida za kuomba usiku wa manane hasa saa 9 na 8 mkuu jaribu kufuatilia
 
Wapo wanaoamin ktk mti, milima, rozal,nk. Inakuaje ?!!.

hao inabidi waombe hukohuko. Ila ukitaka msaada wa Mungu ni lazima uamini kuwa yeye anaweza kukusaidia. kama haumwamini hata akikusaidia hautatambua wala kuamini kuwa ni Mungu aliyekutendea hivyo.

Mara nyingi, ndugu na marafiki huwa wanatukumbuka katika maombi ndio maana tunaona tunaona tunaneemeka tu hata bila kuomba. Ila ni vyema nasi tuombe na kuwaombea wengine tena huku tukiamini kabisa kuwa Mungu anaweza kutusaidia kwa kila tuombacho.
 
Anointing water haiuzwi utatapeliwa tu hakuna mtu ambaye atatoka nigeria akuuzie na ifanye kaz kuwa na imani ikiwezekana washa tv emmanuel usubir muujiza wako God is still saying something
 
Wadau humu ndani. Kuna mtu anamaji haya ya baraka toka SCOAN kwa TB Joshua anisaidie kidogo tu kuna jambo zito limetanda mbele yangu.

Nakuomba kama unayo unisaidie. Asante

Ushaibiwa

Teh teh teh.

Mkuu haa mym mwambie huyo ndugu mimi ninayo kutoka Vatican
Nauza kisoda kimoja laki.

Haya maji yameombewa na PAPA mwenyewe na ushahidi nnao.
Akitaka ntamletea.

Robo lita milion 5 tu. Bei ya kutupa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
$ 80,but mjue Yesu first maji is nothing without faith.Watu wengi upenda vya Mungu lakini awampendi Mungu.Uwezi chezea Yanga ukalipwa Simba hata ukiogea anointing water pipa zima.Bila kumpa Yesu maisha yako hakika utapata shida,Yesu yupo kwa ajili ya watu wenye shida kama wewe.

Umejuaje huyo anayeuliza hamjui Yesu?

Nenda mwenyewe bwm tower usitume watu pale.nje kuna wakowahuni namajiyao usioojua unaingia chaka

Wapo wanaoamin ktk mti, milima, rozal,nk. Inakuaje ?!!.

Acheni kuzuia rizki za watu.
Sasa mapadri wakale polisi?

Hata mimi maji ninayo. Tena ya Vatican kwa PAPA mwenyewe.
Bei yangu maelewano.
Ukija macho juu nakupa za uso.
 
Yaani simply tu zile prayer za youtube ni connection tosha kwangu. i have a lot to testify. au fanya ile water therapy alofundisha ni msaada kwa tatizo lako. yaani imani ni zaidi ya kila kitu.
 
jamani, kwa nini usiamini katika sala zako, maji yaliyoguswa na mtu yanakusaidia nini?jamani hebu lets grow our faith in God and our prayers, tusitegemee hivi vitu vya duniani, mtegemee Mungu wako, piga goti chini, omba

alafu haya majina mnayojipa, kama lako Majaribu2013 sasa si mwaka huo ulikuwa na majaribu sana na yanaendelea, jamaniii

wewe kama haya huyaamini pita kimya tu amini unachoamini. maswala ya imani mwachie mtu binafsi. kila mmoja ana siri ya anachoamini namna alivyosaidika.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Teh teh teh.

Mkuu haa mym mwambie huyo ndugu mimi ninayo kutoka Vatican
Nauza kisoda kimoja laki.

Haya maji yameombewa na PAPA mwenyewe na ushahidi nnao.
Akitaka ntamletea.

Robo lita milion 5 tu. Bei ya kutupa kabisa.

Mkuu hurumia mbavu zangu mie.
Umetisha mkuu una kitu kutoka vatican kwenyewe alafu unapima kwa kisoda teh teh teh teh. Ila mi sijui hawa kondoo wataamka lini yaani wana mambo ya kishirikina balaa.
 
Last edited by a moderator:
yaani simply tu zile prayer za youtube ni connection tosha kwangu. i have a lot to testify. au fanya ile water therapy alofundisha ni msaada kwa tatizo lako. yaani imani ni zaidi ya kila kitu.

Teh teh teh.
Kamanda we kiboko.
Yaani unaabudu kupitia Youtube.
Dah..
Hizi imani zingine ka Movie ya kihindi.
Sasa sijui sterling ni nani ktk hii movie yako.
Lkn afadhali wewe. Ukipata buku tu ya kununua furushi la Internet mambo swafi. Ibada inakwenda.
Sio hawa mpk wakanunue maji ya Dola 80.
We ukiipata hio dola 80 utafanya ibada mwaka mzima kwenye YouTube
Teh teh teh teh.

Haleluyah kwa sana mkuu.
 
Majaribu 2013
Tuwasiliane Mimi nitakuombea bure.Achana na hizo spiritual items!
 
jamani, kwa nini usiamini katika sala zako, maji yaliyoguswa na mtu yanakusaidia nini?jamani hebu lets grow our faith in God and our prayers, tusitegemee hivi vitu vya duniani, mtegemee Mungu wako, piga goti chini, omba

alafu haya majina mnayojipa, kama lako Majaribu2013 sasa si mwaka huo ulikuwa na majaribu sana na yanaendelea, jamaniii

Ni Ujinga Kujiona Wee Ambaye Uamini hayo Maji Kuwaona Wengne Hawafai..

Tulia na Imani Yako .. Hakuna Mtu anayeamini Mungu Pekee Bila Kuaamini Vitu Vingine Vya Baraka kama Hayo Maji
 
Back
Top Bottom