MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

nyinyi si amjui kugoma mnafikiri haki inapatikana kiraisi raisi ! mtanyonywa mpaka damu....na bado
 
98% ya waalimu ni wanachama hai wa CCM. Wanakichangia chama chao nyie kelele za nini?.
 
ndio mathala ya kuchakachua vyeti hiyo wanaujua udhaifu wao ndo mana wanawafanya watakavyo?? Wakilalamika tu nakutishia kugoma serikali nao inatishia kufanya ukaguzi wa vyeti vyao basi wao wenyewe wananywea kimyaaa na kulainika kama mlenda??
 
Anayetukana walimu ni mshenzi,mjinga na hana adabu!
 
Walimu hawatukanwi hapa. Wanaambiwa wazinduke tu toka kwenye usingizi wa uonevu...
 

JIBU LA YOTE NI HILI: Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala (According to wewe (@Lukolo)
 
ndio mathala ya kuchakachua vyeti hiyo wanaujua udhaifu wao ndo mana wanawafanya watakavyo?? Wakilalamika tu nakutishia kugoma serikali nao inatishia kufanya ukaguzi wa vyeti vyao basi wao wenyewe wananywea kimyaaa na kulainika kama mlenda??

hilo ndio jibu LEGE hasa hawa walioingia kwa division za iv point 30 wanashida sana na wengine vyeti vya ndugu zao, ukiingia kwa njia ya panya kiukweli hata kutetea haki yako itakuwa ngumu
 
Last edited by a moderator:
waaaalimu ndio huchukua asilimia kama 40 ya wasimamize wa uchaguzi na hushiriki kuchakachua matokeo na tume ngoja kiwakute
 
Poleni sana walimu naomba muwe na moyo huo huo .hakika mtashinda vumilia mpaka mwisho.
 
Sababu walimu ni DHAIFU! hawajijali! Acha wakomeshwe washike adabu, walijua mashati na kanga za kijani ni bure, acha walipe sasa.

Na huo ndiyo ukweli tutathibitisha hili siku chache zijazo watakapoukimbia mgomo walioitisha kwa nguvu nyingi
 
Tena ni kilaza, mbumbumbu, uncultured, uncircumcised, undercultivated, etc.

Wewe ni mwalimu wa shule gani unayewafundisha watoto wetu matusi? Tunataka usituharibie wanetu; ufukuzwe kazi na utumishi!
 
Kweli walimu tunadharauliwa sbu ya kulipwa mishahara duni,serikali wahurumie waongezee kipato.
 
Kweli walimu tunadharauliwa sbu ya kulipwa mishahara duni,serikali wahurumie waongezee kipato.

Ukila lazima na wewe uliwe,si mnakulaga za kuchakachua kura,za sensa,hivyo mmechangia hicho kidogo ili muendelee kula,sasa unafikiri wangemkata nani hizo fedha?kila mtu kesha shtuka bado nyie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…