MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 7, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kila Mwalimu mkoa wa Morogoro amekatwa sh. 3000 kuchangia mbio za Mwenge. Watumishi wengine,tena wenye kipato kikubwa,wameachwa. Kwanini walimu hufanyiwa madhila haya? Wanaonwaje?
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  foooolish government!
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sababu walimu ni DHAIFU! hawajijali! Acha wakomeshwe washike adabu, walijua mashati na kanga za kijani ni bure, acha walipe sasa.
   
 4. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kama ni walimu waache wapgwe za macho awasikii, hawana tofauti na sikio lakufa!! kama wameshindwa kutumia umuhmu wao na wingi wao sisi tutawatetea vip? zitafidiwa kwenye SENSA na uchaguzi mkuu 2015 wakati CDM wanashika dola
   
 5. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  3000 x idadi ya walimu manispaa = stress nyingine
   
 6. n

  ngomicom Senior Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani kwa mtazamo wangu hii ndo moja ya sifa ya walimu, mkitaka wawewanakurupuka watafanya hivyo hata darasan, hao ndo wanao jenga jamii hii ya sasa ambayo ni tolerant.
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Remote, foolish government, foolish teachers, foolish Tanzanians...... all of these participate fully to make the CCM
  life span longer!!!!!

  They supervise election, census ...... see themselves as part of government mkuu!
   
 8. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Walim ni walalamishi tu, NO ACTION!
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma Mkuu Paul Kijoka. Lakini,hakuna walimu wapinzani wanaoweza kuanzisha vuguvugu la mabadiliko?
   
 10. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huo mwenge kazi yake nini hasa? Moshi wake unatia mafua!
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa walimu waache tu wakatwe, tena hata zingekuwa zaidi ya hizo, ni haki yao tu. Maana hakuna watu mambumbu kama walimu Tanzania. Yaani hii ni kada ya wafanyakazi wa serikali wasiojua haki zao wala stahili zao halali. Ni watu wanaoonewa kunyanyaswa na kudharauliwa na serikali kupindukia lakini ndiyo wa kwanza pia kujipendekeza serikalini. Ukiwaambia tugome hawataki, tulikubaliana mwaka 2010, tugome kuandikisha na kusimamia uchaguzi, kuja kushitukia ndiyo kwanza baadhi ya walimu wamekwenda kuomba kabisa. Yaani walimu ni headache katika nchi hii. Acha tuumie tu, pengine siku moja tutaamka usingizini na kuelewa ni nini tunachokistahili.
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wajinga ndio waliwao,ni methali ya zamani sn
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  unawaonea walimu! Watu wenye mchango mkubwa katika mageuzi ni walimu! Chadema ina uhakika wa wasomi sababu ya walimu.
   
 14. TETILE

  TETILE Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Walimu nguvu moja sauti moja
  hii ndio kauli mbiu ya walimu.
  Kwa sasa haina maana yoyote kwani hakuna sauti moja wala nguvu moja.
  Mgomo uendelee mpaka kieleweke.
  Hivi pasipo MWALIMU nini kingeendelea hapa nchini.
  Mwalimu ni chanzo cha kila kitu kama Rais wabunge mawaziri madaktari na kada zingine mbalimbali.
  Serikali iache manyanyaso na madharau kwa walimu!
   
 15. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  liwalo na liwe kata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. s

  slufay JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Walimu wengi wanapenda sana sirikali yao ndio maana wanachanga mbio za mwenge ili mwenge wetu uwezo songa mbele. Viva ccm viva walimu. Migomo kwetu mwiko.
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Waje Arusha na hizo sera zao waone!nyoooo!hao si wa majimbo wanaotukuza ccm?waacheni waliwe,labda watazinduka!
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  na wakatwe tu,labda ckumoja watazinduka
   
 19. N

  Njaare JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  walimu wakimaliza miezi mitatu bila mishahara yao kukatwa, huwa hawajisikii vizuri. huwa wanapenda sana kukatwa mishahara.
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  tena haitoshi ilitakiwa iwe 30,000/= kabisa.
   
Loading...