MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

WAKUU MLITEGEMEA WAWAKATE WATU GANI? WALIMU NDO PEKEE HATA WAKIKATWA 90% HAWALALAMIKI, Hata haya MASHIRIKA YA KIUTAPELI YA MAKABURU KAMA BYPORT FINANCE, BLUE FINANCE, PLATINUM NA ZINGINE HUWA WANAFANYA RESEARCH KABLA YA KUANZA KAZI NA HUJA NA JIBU KWAMBA WAANZIE KWA WALIMU,

Huwezi jiuliza kwa nini haya Makampuni ya MIKOPO yasiende kuwakopesha Manesi, Maafisa kilimo na kada zingine na wakimbilie kwa walimu na RIBA ZAO ZA 40%,
 
wanatukata hizo hela kwajili ya kununulia kondom za kugawa cku ya mwenge ckueneza ufuska jamaa inaniuma sana.walim 2amke jamani.
 
Anayetukana walimu ni mshenzi,mjinga na hana adabu!

Waalimu wa nchi hii wanajitukanisha wenyewe, they are soooo cheap hadi nyinyiem wanawa-take for granted! Kwa mantiki hiyo matusi yako umeyaelekeza huko huko kwa waalimu, sasa sijui na wewe ni mjinga usie na adabu?!
 
ndo maana nilikataa post ya ualimu kule Kabanga TTC Kigoma,walimu hamna msimamo hata kidogo,yaani bora hata wanafunzi wa shule za kata wana kamsimamo!!!tatizo mnachakachua vyeti kupata ualimu sasa unafikirim kuna ki2 hapo!!!
 
Sababu walimu ni DHAIFU! hawajijali! Acha wakomeshwe washike adabu, walijua mashati na kanga za kijani ni bure, acha walipe sasa.

Umesema kweli. Walimu wengi huwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Hawa hawa ndio wachakachuaji wakubwa wa kura in favour of MAGAMBA kwenye vituo vya kupigia kura. Wacha waliwe kwa sababu hata Mkuu alisema "Ukitaka kula lazima nawe Uliwe"
 
MWENGE ni kitu kizuri acheni tukatwe>..,,kwi kwi kwi{kicheko}
 
Walimu wenye certificate na diploma wengi wao walifeli form four au form six, kuna anayebisha? Na serikali inaujua udhaifu wao huo hivyo hata wangeporwa mishahara yao yote wangenung'unuka chini chini then kimya kwa kuwa hawana option! Kwanini wasikate naza maprofessor pale sua na mzumbe kama suala ni kukata walimu wote?
 
hawana pa kukimbilia mkubw! wasipo jitambua watakatwa mpaka ziara za mawaziri!
 
Mwalimu usinibaini, wajinga ndio waliwao; nikipata mbili moja yangu moja yako. Wanatakiwa waitikie "Amen"
 
walimu walishagoma. Mgomo ambao walimu wanaufanya sio ule wa kutokwenda ofisini. isipokua ule wa kwenda ofisini na kukaa tu bila kufundisha huku kamshahara kanaingia. At the same time unakuta kila mwalimu ana kamradi fulani ka kutengeneza hela nyingine ndogondogo. majibu ya NECTA yakitoka utasikia tu mwaka huu wanafunzi wamefeli kweli. ukitafuta sababu huoni.
Hawa jamaa walishagoma zamani tu, wanapiga dili zao taratibu.
 
mkuu umesahau kashindye wa igunga si alikua mwalimu yule

nimekupata mkuu nami ni mwalimu ninayeunga mkono vuguvugu la mageuzi ndani ya kada ya ualimu ila tunakwamishwa na baadhi ya walimu walioivamia fani hii nyeti kinyume cha sheria.most of them dv iv hadi point 33 hadi unategemea mabadiko?
 
wakuu mlitegemea wawakate watu gani? Walimu ndo pekee hata wakikatwa 90% hawalalamiki, hata haya mashirika ya kiutapeli ya makaburu kama byport finance, blue finance, platinum na zingine huwa wanafanya research kabla ya kuanza kazi na huja na jibu kwamba waanzie kwa walimu,

huwezi jiuliza kwa nini haya makampuni ya mikopo yasiende kuwakopesha manesi, maafisa kilimo na kada zingine na wakimbilie kwa walimu na riba zao za 40%,

mkuu nami ni mwalimu nakubaliana kabisa na hoja zako hasa about makampuni ya kitapeli.fanya ziara mkoa wa ruvuma hasa mbinga utasikia kilio cha walimu kuhusu b.port
 
Back
Top Bottom