TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,514
- 11,277
tatizo si dini ni utu wa mtu..
word..
tatizo si dini ni utu wa mtu..
Huu wizi mpaka kwenye nyumba za ibada? kweli maisha yamekuwa magumu sana
Huko hakuna wakufuatilia.
Utaambiwa Mungu ndie atahukumu.
dini nyingine tabu tupu sipati picha ndio wangekuwa super power nadhani 'makafiri' tusingekuwepo duniani.