Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Hebu nambie kweli watu kupata pesa ya kununua kopo tu la mahindi ambalo sasa linauzwa sh.1000 ni kazi hiyo pesa ya kuchangia mwenge na bado hatujui umuhimu wake kwetu tunatoa wapi jamani kama sio kunyanyasana, si watumie hizo pesa walizoiba za rambirambi wakimbize mwenge wao!! Tushachoka na huu utawala sio siri.
Hayo maneno ya mwananchi wa Tanganyika.