Mwenge kuna nini Jamani!!

Mwenge kuna nini Jamani!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Kubali usikubali kama wewe ni mwenyeji wa Dar au umeshawahi kutembelea maeneo haya lazima ukubaliane na ninachotaka kukisema,.

Mwenge ni kubwa sana ila nitachukua eneo dogo tu nililolifanyia utafiti la mwenge-sokoni na mwenge-kituo cha mabasi,.

Maeneo haya yamekuwa ya muingiliano wa watu wengi sana wakijitafutia mahitaji yao au kufanya biashara zao,.

Kwa utafiti nilioufanya nimeibua yafuatayo:

1.Eneo hili limesheni wadada wengi tena warembo waliojipamba wakapambika, waliotumia vipodozi vikawapodoa,.

2.Eneo hili limekuwa sehemu ya makutano kwa wapenzi wengi ukilinganisha na Mlimani city na maeneo mengine maarufu hapa mjini,

3.Eneo hili limekuwa sehemu ya kupamba miili ya akina dada, ukitaka staili yoyote ya mapambo fahamu Mwenge ndiyo mpango mzima,


Wakina dada wa siku hizi ukiwauliza tuonane wapi bila shaka atakuambia tuonane Mwenge, mambo ya kukutana beach yameshapitwa na wakati!!

@''bado nahitaji kifahamu mwenge zaidi
 
Mi mwenyewe nipo mwenge sahizi nasagula !! Btw-hapo ni makutano na sehem ya biashara lazma kuwe na mwingiliano!!
 
Panafika kirahisi sana kila sehemu kuna magari yanafika apa Mwenge.
 
Kwahiyo na wa Kitunda na Kinyerezi wanapangia appointment Mwenge!

Kama jibu ni ndiyo basi ujue kuwa Mwenge ni sehemu ya Machinjio ya wanaume.

mkuu yamekukuta nini,.
 
Mwenge kwenyewe kumebanana! Full msongamano hizo appointment mnakutanikia wapi? Ktk vibaraza vya wapaka rangi au stendi?
 
Mwenge ni kama njia panda ivi na panafikika kirahisi bila shida..........
 
Mi mwenyewe nipo mwenge sahizi nasagula !! Btw-hapo ni makutano na sehem ya biashara lazma kuwe na mwingiliano!!

Mie nikitoka job njia yangu ni Mwenge ndo nahisi ni rahisi kufika home

pale kusagula ni mda wote jion ndo ballaa
 
Mi mwenyewe nipo mwenge sahizi nasagula !! Btw-hapo ni makutano na sehem ya biashara lazma kuwe na mwingiliano!!
umewahi sana muda huu, pale jioni ndio mpango mzima bei poa poa.
 
Umefanya utafiti kwa mwenge au utafiti wako ulihusisha na sehemu zingine? Unatudanganya!
 
yaani unafikiri tutakuamini hivi bila kutuwekea picha ya kutudhihiishia kwamba ni kweli upo Mwenge unasagula.................bandika picha haraka sana
Mi mwenyewe nipo mwenge sahizi nasagula !! Btw-hapo ni makutano na sehem ya biashara lazma kuwe na mwingiliano!!
 
hapa mnazungumzia mwenge wa uhuru au upi jamani??
 
Kwa siku hizi mademu wengi wako shkopa si wa masaki au kantalamba wote ng'ari ng'ari.
 
Mambo yote sagula sagula jioni.
Hapo ndo twapata jeuri ya kukaa nyuma ya keyboard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom