123Kape
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 463
- 105
Kule kwa Mpemba........unakujua
pale kwenye chips opp tamali au wapi unamaanisha!pameandikwa mchambawima
Kule kwa Mpemba........unakujua
Mie nikitoka job njia yangu ni Mwenge ndo nahisi ni rahisi kufika home
pale kusagula ni mda wote jion ndo ballaa
yaani unafikiri tutakuamini hivi bila kutuwekea picha ya kutudhihiishia kwamba ni kweli upo Mwenge unasagula.................bandika picha haraka sana
Kwa siku hizi mademu wengi wako shkopa si wa masaki au kantalamba wote ng'ari ng'ari.
Hao wa kantalamba, wapo wanaotoka makambi yaliyokuwa Mwese, mishamo na Ndurumo ni Watusi warembo sana hao
Mambo yote sagula sagula jioni.
Hapo ndo twapata jeuri ya kukaa nyuma ya keyboard.
Kubali usikubali kama wewe ni mwenyeji wa Dar au umeshawahi kutembelea maeneo haya lazima ukubaliane na ninachotaka kukisema,.
Mwenge ni kubwa sana ila nitachukua eneo dogo tu nililolifanyia utafiti la mwenge-sokoni na mwenge-kituo cha mabasi,.
Maeneo haya yamekuwa ya muingiliano wa watu wengi sana wakijitafutia mahitaji yao au kufanya biashara zao,.
Kwa utafiti nilioufanya nimeibua yafuatayo:
1.Eneo hili limesheni wadada wengi tena warembo waliojipamba wakapambika, waliotumia vipodozi vikawapodoa,.
2.Eneo hili limekuwa sehemu ya makutano kwa wapenzi wengi ukilinganisha na Mlimani city na maeneo mengine maarufu hapa mjini,
3.Eneo hili limekuwa sehemu ya kupamba miili ya akina dada, ukitaka staili yoyote ya mapambo fahamu Mwenge ndiyo mpango mzima,
Wakina dada wa siku hizi ukiwauliza tuonane wapi bila shaka atakuambia tuonane Mwenge, mambo ya kukutana beach yameshapitwa na wakati!!
@''bado nahitaji kifahamu mwenge zaidi
Mwenge ni sehemu rahic kuifikia ndo maana inakua makutano junction,kwahyo na wapenzi wanakutana pale kuelekea huko ma beach..
Ila pia mwenge pabaya jaman unaweza ukatumia mpaka nauli usipokaa vzuri,maana ukigeuka huku viatu,huku nguo lazma uchanganyikiwe
kusagula ndo kufanya nini ?Mie nikitoka job njia yangu ni Mwenge ndo nahisi ni rahisi kufika home
pale kusagula ni mda wote jion ndo ballaa
kusagula ndo kufanya nini ?
ooh,kumbe,mi nikadhani warembo wa humu shopping mnafanyia zizzou,mlimani city,dubai,kumbe hata mitumba mnasagula?kuchaguachagua mitumba eboh!