Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Nafikiri pia guest nyingi ziko maeneo hayo....yoote hiyo including sinza huwa naiita killing zone
ushakill wangapi mitaa hiyo?
Nafikiri pia guest nyingi ziko maeneo hayo....yoote hiyo including sinza huwa naiita killing zone
ndio maana nakutana na watu wengi wanaomba nauli mwenge.Mwenge ni sehemu rahic kuifikia ndo maana inakua makutano junction,kwahyo na wapenzi wanakutana pale kuelekea huko ma beach..
Ila pia mwenge pabaya jaman unaweza ukatumia mpaka nauli usipokaa vzuri,maana ukigeuka huku viatu,huku nguo lazma uchanganyikiwe
pale kwenye chips opp tamali au wapi unamaanisha!pameandikwa mchambawima
kusagula ndo kufanya nini ?
Kwa siku hizi mademu wengi wako shkopa si wa masaki au kantalamba wote ng'ari ng'ari.
Kule kwa Mpemba........unakujua
Wakina dada wa siku hizi ukiwauliza tuonane wapi bila shaka atakuambia tuonane Mwenge, mambo ya kukutana beach yameshapitwa na wakati!!
Umenikumbusha mbali sana...
we jifanye tu unafanya utafiti, hivi mnajua Ngoswe wa kwenye kile kitabu cha MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE alipoteza nyaraka zake maeneo ya wapi? Wachunguzi wa mambo wanasema ilikua MWENGE,
Sasa hivi panaitwa "MWENGE KITOVU CHA UZEMBE"
hapa mnazungumzia mwenge wa uhuru au upi jamani??
wapi huko? tumegeane stori bana
Sikujui huko kwa mpemba shosti, vipi kunanini huko?
ooh,kumbe,mi nikadhani warembo wa humu shopping mnafanyia zizzou,mlimani city,dubai,kumbe hata mitumba mnasagula?
ushakill wangapi mitaa hiyo?
hahaa hii haimegeki.....