Mwenendo wa Uchaguzi Mkuu 2015 - Andrew Nyerere azungumza

Kuhusu huu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyesha ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindani mkubwa. Makada wengi wamekihama chama cha CCM na kujiunga na Chadema. Lakini Chadema. Lakini Chadema pia imehamwa na wanachama wake. Sasa yupo Lowassa ambaye anaweza kuwa rais
asante sana kwa maoni yako mtumishi wa Mungu
 
Haha viroba vibaya sana akumbuki kua kaacha bandiko nusu bado ajamalizia kweli ukoo huu unavituko sana
 
Lakini Lowassa anaweza vipi kuwa rais kama CCM imefanya vizuri sana katika uchaguzi za serikali za mitaa miezi michache iliyopita? Na hapa lazima niseme kwamba sielewi ni vipi zita kuwepo uchaguzi za udiwani oktoba 25 wakati ulikuwepo uchaguzi wa serikali za mitaa miezi michache iliyopita. Lakini Kama CCM ilishinda uchaguzi
 
lakini lowassa anaweza vipi kuwa rais kama ccm imefanya vizuri sana katika uchaguzi za serikali za mitaa miezi michache iliyopita? Na hapa lazima niseme kwamba sielewi ni vipi zita kuwepo uchaguzi za udiwani oktoba 25 wakati ulikuwepo uchaguzi wa serikali za mitaa miezi michache iliyopita. Lakini kama ccm ilishinda uchaguzi

jiandae kisaikilojia kwa drones za majemedali...
 
Back
Top Bottom