Dear_me_
Member
- Dec 31, 2022
- 43
- 86
Zinatumia nishati gani,au ni mkondo wa Dp worldTanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
Usiku wa juzi na jana tunaendelea kushusha mabasi mapya kutoka china 🔥🔥
Tupo live apa badnarini ICD Get na.5
Hizo zinatumia gesiZinatumia nishati gani,au ni mkondo wa Do world
Naona zimekuja na rangi ya mitano tenaTanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
View attachment 3434183View attachment 3434184
Mtendaji mkuu ndio tatizo.Mwendokasi ni UJINGA MTUPU
Nadhani ilitakiwa gesi na umeme,mambo yanaenda speed sana sisi tuko slow mnoni gesi kma ilivyosemwa mwanzo ila huwa na system ya diesel pia
Ndio pesa tunazoKwa hiyo na hayo yakiharibika tunaagiza mengine hakuna haja ya kutengeneza eti?